Zinanoga mnoo huyu nae sijui wa wapi hata usukumani hayupoWasukuma inabidi muoane wenyewe kwa wenyewe tu kwa kweli. Just kidding.
![]()
Ilikuwa hivi, au?
kwa hii ishu yako ndogo hivo umeshindwa kuislove! inafanya niamini ww bado mvulana. mambo hayaendi hivo jamaa, mngekaa peke yenu then ukamuelewesha.Wana JF,
Nikiwa na tahashishi na mashamu shamu ya kukutana na chombo murua kabisa, nimesindikizwa na rafiki zangu wawili tukafika kwa mchumba wangu ambaye ndio kwanza alikuwa ana miezi miwili ameajiriwa kwenye hosptali moja ya mission Rubya Hospital ghafla anaingia mtu amejipamba sana , akiwa ameweka nywele nyingi kukifanya kichwa kuwa mzigo, huku chini akiwa amevaa kitop na jeansi lililochanika chanika, akataka kuniwau, nilishutuka nimebadilika na kumsukuma kwa muda, kutuachanisha alafu nikakaa kama dakika mbili hivi , nikamuuliza umefanya nini? yeye kimya)umefundishwa hivyo (kimya) nikawaambia rafiki zangu tuondoke.
Kwa kweli mchumba alibadilika akaangua kilio kuomba samahani nikamwambia tutaonana tu tukiwa peke yetu, akanikubalia tukaondoka. Tukiwa njiani tunatembea niliingiwa na ukimya sana rafiki zangu wakaniuliza mbona umeshindwa kumsamehe kwa kitu kidogo jeans tu. Nikawajibu, ndoa haijalibiwi, kama mtu anajiondoa ufahamu mapema anafanya vituko mbele ya marafiki zangu mapema hivi, akiizoea ndoa itakuwaje?
Wanandugu huu ulikuwa ujinga kwangu au niliona mbali, kama ungekuwa wewe mrembo unayemtegemea aongoze familia anakuja na nguo zinazovaliwa na machiz eti fashion ungefanyaje.
Bwana wewe alinishutua sana nikaona kwamba hii tabia uenda akaiendelezaAna umri gani huyo mchumba..Ila na wewe utakua mvulana. Wenzako huwa wanapotezea ishu kama hizo halafu baadae ndo anamuita na kumueleza hajapenda mavazi yake. Be a man bro. Hivyo ni vitu vidogo na vinarekebishika.
hahaha kweli kabisa jamaa anajifanya ameshindwa kuvumilia kitu kidogo ila ni kweli mungu amemuepusha mschana na mikomoto mana huyu jamaa ni dikteta u....rWewe huna tatizo hata moja maishani? Kulikuwa na haja gani kumsukuma asikuwao?
Anyway nadhani na wewe una mapungufu sana ya kushindwa kuvumilia kitu, mume Bora ni Yule anaeweza kuona Jambo na akajipa muda kutafakari bila ku'overeact'
Kiufupi ulikosea na hilo halikuwa kosa la kuachana nae, ungemwambia tu unapenda mavazi ya namna gani na yapi hupendi......
Umekosa mke ambae pengine ndio angekuwa Bora kabisa. Mapenzi bila uvumilivu si sawa.
Hatujui lakini yawezekana ni yeye Mungu ndio kamuepusha na mume mwenye Gubu.........
Sio uchizi ndugu yeye alivaa hivyo kwa kujua kapendeza so jukumu lako lilikuwa kumwambia kuwa hupendelei hayo mavazilakini ishara ya kua-act uchizi mapema kwenye maisha ya uchumba ilikuwa sahihi?