Jealous ya Ali Kiba yapata anguko kubwa licha ya views nyingi, sababu ni hizi

Unateseka ukiwa wapi wewe mtoa thread !? Ww una uhakika gani Kama alinunua views
wivu Ni kidonda ndugu yangu and no research no right to speak Bora ungemsimanga alikiba juu ya swala lake la KUTOKUWA mbunifu hapo ningekuelewa maana hicho ndo seems kinamuangusha maana yeye yupoyupo tu Kama vile anafanya mziki wa gospel, kapooza, Hana Kiki, haendi na fashion, hajui kucheza na mziki wa Sasa Ni wa amapiano zaidi or even trends to make him kusikika Mara kwa Mara , hapo ungeeleweka lkn sio hiz point zako ambazo hazimake sense
 
ni mawazo yako

wako wanampenda kiba hivyo hivyo
 
Hivi ni kwa nini bado mnapenda kushindanishana kwenye views badala ya Streams ambazo hazina utata?
 
Sawaaaaa
 
huna elimu kuhusu IT na social networks ...emu ka - google vzr afu ulete mada ....diamond kuwa namba 1 trending inamaanisha watazamaji wengi ni wa apa bongo na kiba video yake inatazamwa zaidi nje kuliko apa bongo ...system inafanya kazi kwa namna flani ambayo cwez poteza mda wangu kuanza kuandika gazeti kama ww
 

uko sahihi sana sana sana
 
Yes, wapakistani wengi ndio wanaangalia video za kiba ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ umejijibu freah sana
 
Diamond anatumia robot kukaa trending tz, haiwezekani jealous tangu iwe released, imepangua nyimbo kibao zilizokua kwenye chart lakini imeshindwa kushika trending. Kuna kaujanja ka IT diamond anakatumia, ningebuy story yako kama asingefika namba mbili.
Mang'andakiwe nayo imeishusha jealous lakini eti imeshindwa kuishusha iyo, lazima ukubali kuna namna ya ujanjaujanja sadala anatumia.

Ni kwamba sadala anatumia nguvu kubwa sana kutiaminisha kua iyo ni bora kumbe ndio ashaishiwa .
 
Zile kelele za "sijui views milioni ndani ya lisaa" zimeshazimwa sasa wamehamia kwenye trending.
Na huku napo watahama, ngoja tujue code!
 
Hawa walisema views hazinunuliwi, na wakawa backed na Mange kimambi, leo wanajikataa wenyewe
 
Embu nenda kasome kwanza factors (vigezo ) vinavyo tumiwa na hao You tube kuiweka video iliyopotiwa kuwa trending no 1. Halafu baada ya hapo njoo utoe lecture tena.
 
Embu nenda kasome kwanza factors (vigezo ) vinavyo tumiwa na hao You tube kuiweka video iliyopotiwa kuwa trending no 1. Halafu baada ya hapo njoo utoe lecture tena.
Mkuu saizi video inashika namba ngapi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Nikilewa sitaki nigasiwe
 
Kiba Kama amewastua wapopo baada ya kufanya ngoma mbili na Wasanii wao .hivyo views nyingi anapata Nigeria.. trending ni regional (East Africa)..
 
Kiba Kama amewastua wapopo baada ya kufanya ngoma mbili na Wasanii wao .hivyo views nyingi anapata Nigeria.. trending ni regional (East Africa)..
nigeria hayupo kwenye trending, ni dhahiri views zitakuwa ni za pakistani
 
Diamond ana mashabiki wajinga sana yaani,hiyo ndio bahati mbaya aliyo nayo.kwingine kote ametusua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ