pamoja mkuu ,ila siyo lazima kuwaita marafiki zako wote ....nyie wanne(u ,ur x,ur frend n ur frends gal) au watatu(u ,ur x n ur frend) mnatosha kuelezana ukweli usifanye big issue sana hapo kaka.nashukuru sana ndugu zangu wana JF, kwa nasaha mlizotoa na mtakazoendelea kutoa. Siko mbali na ushauri mlionipa na sasa natarajia kufanya kama mmoja kati yenu alivyonishauri.
Nitawaita wote( x-girlfriend wangu, rafiki yangu, marafiki zangu wote nilonao hapa chuoni, demu wa jamaa) na kuwaeleza yaliyotokea kisha, kisha KUWASAMEHE kama jinsi mungu na binadamu wengine wanavyonisamehe, then. I WILL BE A FREESOUL.
NAWAPENDA SANA NDUGU ZANGU,,,,,HAKIKA MUNGU AMENIKUTANISHA NA JAMII MPYA
JE YANIPASA KULIPA KISASI KWA MIMI KUMCHUKUA DEMU WA JAMAA LIKE WHAT HE DID?
Je, unaweza tu kumchukua huyo demu bila yeye naye kukutaka wewe?