benruby
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 399
- 582
Hzozaku kula nyingi sanaWengine Kazi zetu Kubwa ni kuwa Madaraja ya Watu Kufanikiwa Kimaisha iwe kwa Kuwasaidia Kiuwezo au Kiushauri ila baadae tunadharaulika tu.

Wale wa forex tunaruhusiwa ku comment?
Mkuu ukitoa ujuzi ndo utapata ujuzi...Wajuzi tupeane izo knowledge