Je wewe upo kwenye hii Picha??

Tuko wengi sana,huyu hapa ni mimi jirani yangu ni........... hapana atjitaja yeye.
Mkuu nimesema kama hupo ni PM mkuu!Naunaitwa nani mkuu nikwambie mimi ninani katika hiyo picha!

Simo.......mimi nilikuwa Operesheni Kambarage 832 KV
Mkuu hapo kwenye Red Umme gani huo??

mimi nipo....wa kwanza kulia waliosimama......
ulikuwa unasemaje.......?
Mamii Preta hata wewe wakunizunguka??za hapo ulipo?hongereni nasikia mmekata kifaa kipwa mkakikwangua magamba yote!!Namkakipa kombati safi sana hongereni!!Kwa juhudi zako nasikia!

Itakuwa ni wapiganaji wa Kambi ya JKT Mgambo, kuna sura za jamaa zangu naziona kwenye hili photo.
Hapana mkuu hii kitu ya Atown ndani ya Oljoro mkuu!

1983 January - December

Ngoja nikamwambie ba'mdogo nimeona picha yake Jf anatafutwa!
Mwambie huku kuna mkubwa mwenziyo anakutafuta!!
92 chekechea hata rais wa nchi sikujua anaitwa nani!
Marahaba!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom