Pale mke wako anapoweka kichwa chake kifuani
* * na taratibu anauliza, ′′ Mpenzi, je wewe * * una
mwanamke yeyote katika maisha yako zaidi
yangu?"* * Kumbuka jibu lako sio muhimu kwa
wakati huu, cha msingi ni * * mapigo yako ya
moyo. Weka moyo wako katika udhibiti, inaitwa
cyber security threat detection and mitigation
combined with artificial intelligence.*
- Ndugu, kamwe usipaniki.*
- Narudia kamwe usipanic au utapoteza * * kes