ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,461
- 67,439
Ulemavu wa nini?🤣🤣🤣ha ha ha inabidi utafute mbadala wake,bila mbadala utajiongezea ulemavu
Ulemavu wa nini?🤣🤣🤣ha ha ha inabidi utafute mbadala wake,bila mbadala utajiongezea ulemavu
Njia itakuwa ngumu kupitikaUlemavu wa nini?🤣🤣🤣
Inarudi kama zamani🤣🤣🤣🤣Njia itakuwa ngumu kupitika
ha ha ha inaweza ikapotea kabisa na isionekaneInarudi kama zamani🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣haiwezi kupotea bwana,ila mazoezi lazima ifanye kwa afya lakini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️ha ha ha inaweza ikapotea kabisa na isionekane
ha ha ha huyo wa kufanya naye mazoezi anapatikanaje?🤣🤣🤣🤣🤣haiwezi kupotea bwana,ila mazoezi lazima ifanye kwa afya lakini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Nitakuelezea siku nyingine🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ha ha ha huyo wa kufanya naye mazoezi anapatikanaje?
ha ha ha ha haina shida pata kahawa na tangawizi,kulainisha koo.Nitakuelezea siku nyingine🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wengi tunaingia kwenye mahusiano kutokana na misukumo mbalimbali, mfano:- kupata mwenza, tamaa za kimwili, kuongeza kipato, kuigana n.k
Hii hali imepelekea wanajamii kuhamasika, na kila mmoja kutafuta mahusiano bila kuangalia ukomavu wa muhusika, na mwisho wa siku kuleta changamoto katika mahusiano hayo.
Ndio maana mahusiano mengi huvunjika, kwa sababu waliopo kwenye mahusiano hawakujiandaa.
Je, wewe ulijiandaa kwenye mahusiano?
View attachment 1447895