sadi msita
Member
- Mar 10, 2013
- 39
- 28
Kama wewe ulikuwepo wakati wa Gari hii wewe ni muhenga
Sasa si ni wahenga ndo walitafuta kila njia kufika huku waliko au?Hivi kwa uduni ule wa uwenga unaona ni sifa kwako hu ujui jinsi watu walivyo tafuta kila njia kufika huku waliko