Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,602
- 1,864
Ndugu waislam na wakristo mtume wako Muhammad na Mungu wako YESU kabla ya kufa kwake aliwapa kazi vijana wake waende mataifani na katika mabala kote wakautangaze uislamu na ukristo,
Sasa wewe muislamu na mkristo uliye Tanzania leo hii 2025 wewe ni yupi?
Wewe ndio aliyepewa kazi ya kuutangaza uislamu na ukristo au wewe ndio mtangaziwaji?
Na kama wewe msambazaji wa hiyo dini je mshahara wako na malipo yako ni yapi?
Pia kama wewe ni mtangaziwa je aliyekutangazia unauhakia nae amepewa hiyo kazi kweli kutoka kwa huyo mtu na je malipo yako ni yapi?
Sio mnaacha kazi kufata vitu visivyokuwa na malipo kwenu,.