Je, wewe ni mlevi????

Kasema wewe ni mlevi hajasema ulevi wa pombe. Inawezekana wewe ni mlevi wa mambo mengine kama Ngono nk.
 
Teh Madame B, vipi inacheza kama huyo kasuku kwenye avatar yako nini?

Hii Picha naona kama inacheza haichezi vile Wi-Fi,
Me ni Mlevi wa Chang'aa lakini haichezi halafu inacheza.
Huyu Penguin huwa ananisaidiaga kazi nikiwa na Kazi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…