Je, wewe ni mlevi????

Wi-Fi

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
2,091
Reaction score
1,388
Hiki ni kipimo kujitambua kama wewe ni mlevi au sio, hii picha imeganda, ukiona inachezacheza jua wewe ni mlevi. Nimeweka bure japo hospitali mnalipia..

View attachment 67936

Kipimo chako cha kichina mkuu,hapa nilipo ni Ijumaa na ninazo kama saba tayari kichwani(ze lagaz) na ninautwika kila siku lakini hiyo picha yako sijaiona ikicheza wala kukata kiuno imeganda tu..
 
Wi-Fi, karibu Singida tupige Mtukuru na kachasu maeneo ya utemini, unyankindi, majengo, kibaoni, mitunduruni n.k. kwangu naona inacheza hadi napata kizunguzungu.
 
kuna sehemu muhimu sana umeisahau mwenge, unyankindi, Sabasaba, Ginali, Bomani.
 
Wi-Fi, karibu Singida tupige Mtukuru na kachasu maeneo ya utemini, unyankindi, majengo, kibaoni, mitunduruni n.k. kwangu naona inacheza hadi napata kizunguzungu.

Vp madooo yapo?
 
Haya bana Jovena, Njuki, na mnada wa njia panda kesho jmosi. Mnyampaa uliii? madoo kama kawa.

sawa kiongozi usisahau kititimo na basi linaloitwa kinanda stand yake kuu ni pale msufini!
 
Kipimo chako cha kichina mkuu,hapa nilipo ni Ijumaa na ninazo kama saba tayari kichwani(ze lagaz) na ninautwika kila siku lakini hiyo picha yako sijaiona ikicheza wala kukata kiuno imeganda tu..

:lol::lol::lol: ukimaliza dozi uje kwenye vipimo, hichi ni kipimo saa mtu yuko vizuri kichwani..
 
Wi-Fi, karibu Singida tupige Mtukuru na kachasu maeneo ya utemini, unyankindi, majengo, kibaoni, mitunduruni n.k. kwangu naona inacheza hadi napata kizunguzungu.

Asante Mkuu, Mimi sina chakuongeza hapo..
 
Me naona ukiona inacheza basi wewe si mlevi na ukiona aichezi basi wewe ni mlevi!

Mh Inawezekana kama mdau mmoja hapo juu anasema haichezi na hapohapo anapiga larger.. mimi naona pia haichezi na sipigi larger hapo vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…