We wa Tanga au?KWA WANAWAKE TUUUU
Ewe mwanamke
Haipendezi kumtengea chakula mumeo kisha ukaondoka.
Haipendezi kumtengea pot la chakula mumeo kisha ajipakulie mwenyewe
Haipendezi kumtengea chakula mumeo kisha maji ya kunawa akatafute mwenyewe
Haipendezi kumtengea chakula mumeo kisha maji ya kunywa akatafute mwenyewe
Haipendezi Kumtengea chakula mumeo bila kumwambia karibu chakula laazizi wangu
Haipendezi mume kamaliza kula Kisha aangaike kutafuta kitambaa cha kufutia mikono
Haipendezi mume kamaliza kula vyombo vikabaki mezani wakati wewe mke upo nje unapiga umbea
Haipendezi Mume kamaliza kula Kisha aaze kufuta au kufagia sehemu aliyolia, wakati wewe upo umekaa unaangalia TV tu
Ebu badirika
Mume akiitaji chakula mtengee vizuri
Mpakulie mumeo ukiwa umetulia
kisha mnawishe taratibu, ukimaliza mkaribishe kwa tabasamu
Mlishe tonge mbili tatu za karibu bwana Kisha muache ale mwenyewe
Kaa nae karibu ale huku anakuangalia mkewe, chakula kiingie tumboni vizuri
Mume ana hadhi yake bhana
Raha ya chakula mume ale mke ukiwa pembeni
usimfanye mumeo akuone kama ujafundwa kwenu
Mapenzi ni vionjo tuuuu haina kwenda kwa waganga
jinsi utamvyomlea vizuri mumeo ndivyo nae atavyozidisha mapenzi kwako
SHARE NA WENGINE
Na ungekuwa mwanamke wewe... pengine ungekuwa kwenye ndo ya nne.. NAYO IPO KWENYE HATIHATIHii post ya kijinga kbs, mm si mke wa mtu ila mwanamke sio robot wa kuwa anafanywa mtumwa. Kila kitu tu mwanamke mwanamke, alafu usiku tena unamlalia khaaa!
Ujinga mtupu, majukumu ni kusaidiana..kupika wote mpk bed wote
mi nakupendaga japo ni mke wa mtuHii post ya kijinga kbs, mm si mke wa mtu ila mwanamke sio robot wa kuwa anafanywa mtumwa. Kila kitu tu mwanamke mwanamke, alafu usiku tena unamlalia khaaa!
Ujinga mtupu, majukumu ni kusaidiana..kupika wote mpk bed wote
Anachoongea ni ukweli mtupu, hayo mnayoyataka ni too much kwani nyie ni wakoma????Na ungekuwa mwanamke wewe... pengine ungekuwa kwenye ndo ya nne.. NAYO IPO KWENYE HATIHATI
Shemela umefunguka vya haswaaa.... sawa unafanya kazi kuna yale hutayafanya..... unapouliza ya ukoma ina maana umeolewa kuja kuyafanya yale tu ambayo mimi siyawezi..?? Mfano kubeba mimba?Anachoongea ni ukweli mtupu, hayo mnayoyataka ni too much kwani nyie ni wakoma????
upikiwe, upakuliwe, ufuliwe hadi boxa, unawishwe, upelekewe maji, ulishwe, unawishwe wewe ni mkoma?hapo mwamamke akafanye kazi.anatafuta hela, alee na watoto mnakera mnoo mnakera asee
nyie hayo majukumu yenu mnayakumbuka???Shemela umefunguka vya haswaaa.... sawa unafanya kazi kuna yale hutayafanya..... unapouliza ya ukoma ina maana umeolewa kuja kuyafanya yale tu ambayo mimi siyawezi..?? Mfano kubeba mimba?
By the way mnafanya kazi, yes, lakini nyumbani kama mama una 300,000/- na baba ana 200,000/-... Do you know why the total cash hapo nyumbani ni hiyo laki 2 ya baba?
I know kuna mengine kwa sababu ya kipindi hiki yamepitwa na wakati. ILA IN THE NAME OF HAKI SAWA, MMESAHAU MAJUKUMU YENU MENGI SANA
Ahahahahahahaaa shemela bwanaa.... SHOW LOVE shemela kwa mume.. kumnawisha mtoto ni mnao tofauti na wa kumnawisha mume....nyie hayo majukumu yenu mnayakumbuka???
mnashangaza sana wanaume wa zama hizi, ndo haya mambo ya kulilia na kipato cha mkeo.
sasa hata mikono yako tu unataka unawishwe?! na hapo usikute mke yupo na mtoto, huoni hilo ,unataka tu unawishwe mnakera asee, haya chakula umepikiwa, umewekewa mezani hata kupakua napo huwezi?my dear lazma una ukoma sio bure.