Je wewe ni mhasibu?? Tuma CV faster

Je wewe ni mhasibu?? Tuma CV faster

hata gmail pia haifanyi kazi....so kama vipi just change the mail kama kweli vacancy bado ipo.....kama nia ni njema
 
jaman ningependa mkuu atufahamishe kama kuna nafasi zingine nje ya uhasibu! lingine je kama exprience hakuna ina mana hauwezi kuomba?
 
Huyo mnaemtafuta ndo incharge wa uhasibu?? au atakuwa chini ya mhasibu mkuu??
 
Back
Top Bottom