Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,943
- 31,921
😂😂😂😂😂najiuza ndio ila sina bei yaan bei ya jioni kabisaweee sio kweli hebu jiangalie vizuri, maana wote tunajiuza kwa mujibu wa mtoa maada
😂😂😂😂😂najiuza ndio ila sina bei yaan bei ya jioni kabisaweee sio kweli hebu jiangalie vizuri, maana wote tunajiuza kwa mujibu wa mtoa maada
Yaani unamaanisha bei sawa na bureee..... aah usitufanyie hivyo😂😂😂😂😂najiuza ndio ila sina bei yaan bei ya jioni kabisa
Kibaya kinajitembeza kizuri kinajiuza 😄Sasa kama hatulipwi mshahara inakuaje ?
😂😂😂😂sina bei kabisaYaani unamaanisha bei sawa na bureee..... aah usitufanyie hivyo
Hii ni pale jamii inapotaka kuonea huruma bidhaa isiyokuwa na sokoBei elekezi
Kwa siku au kwa mwezibei ya chini ni 40,000 inategemea 😀😆
We bei gan kwanHii ni pale jamii inapotaka kuonea huruma bidhaa isiyokuwa na soko
Bei yangu ni hii ya kuwapa nyuzi fikirishiWe bei gan kwan
Kwahyo umeingiza kiasi ganBei yangu ni hii ya kuwapa nyuzi fikirishi
HazihesabikiKwahyo umeingiza kiasi gan
Mshamba wewe 😂Hazihesabiki
kwa siku mkuuKwa siku au kwa mwezi