Kuna aina saba za vipaji duniani (Howard Gardner)
Kipaji kipo siku zote lakini kinahitaji kuendelezwa, waswahili tuna msemo unaosema rasilimali sio utajiri.
Hesabu
Lugha
Mahusiano
Muziki
Picha / uchoraji
Ubunifu
Michezo
Na njia pekee ya kuvinoa hivi vipaji ni kwa njia ya elimu, nawasihi msiache elimu aende zake….. “HARDWORK OVERPERFOME TALENT”
Je wewe kipaji chako ni nini?????? Unakipaji gani??