Je, wewe huwa unalala vipi na mwenzi wako...?

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398
black-marriage-separated-542-378x360.jpg

african_couple_sleeping_in_bed_gogocaa00471.jpg

Mie siupendi ulalaji huu.....!

sleeping-african-american-couple.jpg

gogobaa02279.jpg

black-couple-in-bed.jpg

blackcouplesleeping.jpg

Ulalaji huu ndio mwake, huwa napenda sana fukuto....
 
Mtambuzi hivi kuna therapy kwenye ulalaji eeh?
Mie nilidhani inakuja automatically...Ila nadhani kwangu mimi ulalaji kama huo wa kwenye CD BANK unahusika sana.

Mmh.. kama CD Bank? Mimi hiyo mipigo ni nje kwenye friendly match, sasa kama kuna madogo wananizunguka na kupasua kiboga imekula kwangu! Tutalijadili pia na mama na mama yoyo
 
Mtambuzi hivi kuna therapy kwenye ulalaji eeh?
Mie nilidhani inakuja automatically...Ila nadhani kwangu mimi ulalaji kama huo wa kwenye CD BANK unahusika sana.
SnowBall, Je unajua aina ya ulalaji inaweza kufasiri aina ya mahusiano kati yako na mwenza wako?
Kama ulikuwa hujui basi iko hivyo, na ndio maana likazuka neno la mzungu wa nne, halikuja hivi hivi, ukiona hivo jua kwamba mambo si shwari tena.....
 
Last edited by a moderator:
Kukumbatiwa kuna raha yake bwana, has a ukimpata anaejua ndio oooooh hakutoi mtu yakhee hata uambiwe nn....
 
sie kitanda cha 2 *6, huwa mmoja analala juu ya mwenzie.

Na ndio maana nawashangaa wanandugu hapa, pale wanapozungumzia swala la kujamiiana wana ID kwa 6 x 6.... this is wrong, kwa nini wasisema kunako 3 x 6..
Mie likitanda la 6 x 6 ni la nini, silitaki mie, kujaza nafasi na kutoa nafasi kwa shetani kuwatengenisha..... mambo yote 3 x 6 ndio mpango mzima
 
Mkuu aina ya ulalaji inatoa picha ya umri wa ndoa,kwamba ndoa ina umri gani. Kwa zile ulizosema 'huzipendi' kama ni ndoa au mahusiano,basi yamekuwa na kaumri kidogo na hizo ulosema 'wapenda' ni kwa mahusiano mapya au ndoa ndo kwanza bado ina miezi michache au miaka isiyopungua mitatu. Baada ya hapo 'mikumbato' husitishwa na 'everybody-will-die-alone-styles' ina-take place.
 
Mtambuzi hvi si ndio kama vile vya mabwenini?
Hapo hata kama mmenuniana lazima kieleweke tu...manake kila ukizunguka unakutana naye!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu aina ya ulalaji inatoa picha ya umri wa ndoa,kwamba ndoa ina umri gani. Kwa zile ulizosema 'huzipendi' kama ni ndoa au mahusiano,basi yamekuwa na kaumri kidogo na hizo ulosema 'wapenda' ni kwa mahusiano mapya au ndoa ndo kwanza bado ina miezi michache au miaka isiyopungua mitatu. Baada ya hapo 'mikumbato' husitishwa na 'everybody-will-die-alone-styles' ina-take place.

Duh, basi mie na mama Ngina tumejitahidi, mwaka wa nane sasa lakini huo ulalaji niupendao mimi bado upo kwa sana tu, labda siku moja moja nikimtibua kutokana na BANGI zangu...LOL
 
Mbona wengine wamelala na cotton bags??

Kuna mama mmoja niliona kwenye movie analamika sana kuhusu hicho kitu?

Hao wengine wanapiga pamba za nani wakati hakuna kichaa atakayekuja kuwakurupusha??

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom