Je, wewe huwa unalala vipi na mwenzi wako...?

No moja ni wale wabeba mabox si wapenzi ni maroommate, si unajua maisha ya majuu kodi kubwalol!

Kama ingekuwa mie, ningeshashtakiwa kwa kesi ya ubakaji............. Chezea Babu Mtambuzi weye...LOL
 
Na ndio maana nawashangaa wanandugu hapa, pale wanapozungumzia swala la kujamiiana wana ID kwa 6 x 6.... this is wrong, kwa nini wasisema kunako 3 x 6..
Mie likitanda la 6 x 6 ni la nini, silitaki mie, kujaza nafasi na kutoa nafasi kwa shetani kuwatengenisha..... mambo yote 3 x 6 ndio mpango mzima
Umeona eeeh................
 
Hee, mbona wamelala na minguo? Au wamesahau msemo usemao ukikubali kuolewa/oa ukubali kulala bila nguo? Mi no kulala na minguo bwana
 
Hebu angalieni hii kutoka BBC

Bed sharing 'bad for your health'





Sharing a bed may not be conducive for sleep
Couples should consider sleeping apart for the good of their health and relationship, say experts.
Sleep specialist Dr Neil Stanley told the British Science Festival how bed sharing can cause rows over snoring and duvet-hogging and robs precious sleep.


One study found that, on average, couples suffered 50% more sleep disturbances if they shared a bed.
Dr Stanley, who sleeps separately from his wife, points out that historically we were never meant to share our beds.
He said the modern tradition of the marital bed only began with the industrial revolution, when people moving to overcrowded towns and cities found themselves short of living space.

"If you've been sleeping together and you both sleep perfectly well, then don't change, but don't be afraid to do something different" Dr Neil Stanley


Before the Victorian era it was not uncommon for married couples to sleep apart. In ancient Rome, the marital bed was a place for sexual congress but not for sleeping.
Dr Stanley, who set up one of Britain's leading sleep laboratories at the University of Surrey, said the people of today should consider doing the same.


"It's about what makes you happy. If you've been sleeping together and you both sleep perfectly well, then don't change, but don't be afraid to do something different.
"We all know what it's like to have a cuddle and then say 'I'm going to sleep now' and go to the opposite side of the bed. So why not just toddle off down the landing?"


Tossing and turning


He said poor sleep was linked to depression, heart disease, strokes, lung disorders, traffic and industrial accidents, and divorce, yet sleep was largely ignored as an important aspect of health.
Dr Robert Meadows, a sociologist at the University of Surrey, said: "People actually feel that they sleep better when they are with a partner but the evidence suggests otherwise."


He carried out a study to compare how well couples slept when they shared a bed versus sleeping separately.
Based on 40 couples, he found that when couples share a bed and one of them moves in his or her sleep, there is a 50% chance that their slumbering partner will be disturbed as a result.
Despite this, couples are reluctant to sleep apart, with only 8% of those in their 40s and 50s sleeping in separate rooms, the British Science Festival heard.

Source :: Bed sharing 'bad for your health'
 
Mtambuzi hivi kuna therapy kwenye ulalaji eeh?
Mie nilidhani inakuja automatically...Ila nadhani kwangu mimi ulalaji kama huo wa kwenye CD BANK unahusika sana.

Mkuu huo ulalaji unantesa kweli ngoma kila saa inakuwa inasimama si unajua ukigusana na bumps na kale kajoto silali.. mlalo wa mwisho naona uko poa zaidi
 
Kama ingekuwa mie, ningeshashtakiwa kwa kesi ya ubakaji............. Chezea Babu Mtambuzi weye...LOL
Kwa nguvu gani wakija hapo wako hoi kwa kazi za kubeba wazee wakizungu na kuwafuta maudenda, na wala hawajui kama wako mwanamke na mwanamme hapo!
 
Mtambuzi hivi kuna therapy kwenye ulalaji eeh?
Mie nilidhani inakuja automatically...Ila nadhani kwangu mimi ulalaji kama huo wa kwenye CD BANK unahusika sana.

Ulalaji huo nilishawahi kujaribu unaamka kesho yake hoi, nadhani mwili inatakiwa ujiachie upumue hee!! mi nadhani ulalaji wa kwanza na wa pili umekaa vema zaidi
 
CD Bank na huo unaofuata napenda kweli kweli yaani, mmenikumbusha mbali jamani huh! hizo staili zingine mi sijawah kabisaa.
 
Wanalala na nguo ili iweje?


Jamani katuletea mfano tu, sio alete watu wakiwa uchi kabisa, kuna watu humu hawachelewi kusema mtambuzi amekosa adabu mpaka anatuletea picha za utupu, kwa mimi hapo naona katumia busara zaidi kuleta picha wakiwa na nguo zao.
 
hapo umenena 3x6 kimeo kama mwenzio kapiga kinywa wewe hujapiga utakoma... na fleva yake.... raha ya kulala ujiachiee ujimwage..

umeona eee Jiwe Linaloishi, basi ukigeuga unakutana na pumzi nzito unarudi upande wako!!! ukiamka asubuhi looh maumivu.....na magodoro yetu haya ya banco...heheheheeee
 
Last edited by a moderator:
mi bana biashara ya kushikana shkana usiku hapana pendelea kabisa....ikitokea nimegeuka na ka-mama kamegeukia upande mwingine na najisika kumwambia ninavyojisika kwake bila kumuamsha basi nitasogea na kuzungusha mkono mmoja (kama kwenye cd bank).vinginevyo kwangu kulala ni starehe na pumziko zuri labila kung'ang'aniana mwilini linahitajika sana.ila baada ya ''dinner'' ya ukweli(au hata kama ''tukio'' limepigwa mchana,basi ulalaji kama huo wa picha ya mwisho hapo unahusika sana!
 
Back
Top Bottom