Je, wewe CV yako ya mazishi, itachukua dakika ngapi kusomwa?

Kuna jamaa nimekutana naye mtaani, akasema ya kuwa, kusoma sana pamoja na kufanya kazi sehemu nyingi nyingi, kunasababisha CV ya mazishi kuwa ndefu.

Akimaanisha CV ya mtu aliyesoma sana na kufanya kazi sehemu mbali mbali inakuwa na kurasa nyingi, na kupelekea usomwaji wa CV hiyo kwenye mazishi kuchukua muda mrefu hata lisaa limoja.

Je, wewe CV yako ya mazishi, itachukua dakika ngapi kusomwa?
Ata kama ikichukua sekunde moja, utakufa, utazikwa, utaozwa then kama utakutana na moto wa jehanamu.
 
Kuna jamaa nimekutana naye mtaani, akasema ya kuwa, kusoma sana pamoja na kufanya kazi sehemu nyingi nyingi, kunasababisha CV ya mazishi kuwa ndefu.

Akimaanisha CV ya mtu aliyesoma sana na kufanya kazi sehemu mbali mbali inakuwa na kurasa nyingi, na kupelekea usomwaji wa CV hiyo kwenye mazishi kuchukua muda mrefu hata lisaa limoja.

Je, wewe CV yako ya mazishi, itachukua dakika ngapi kusomwa?
Hata kama cv Ina kurasa 500 ukifa umekufa tu hiwezi kurudi,Bora mbwa aliye hai kuliko Simba aliyekifa.
 
Kuna jamaa nimekutana naye mtaani, akasema ya kuwa, kusoma sana pamoja na kufanya kazi sehemu nyingi nyingi, kunasababisha CV ya mazishi kuwa ndefu.

Akimaanisha CV ya mtu aliyesoma sana na kufanya kazi sehemu mbali mbali inakuwa na kurasa nyingi, na kupelekea usomwaji wa CV hiyo kwenye mazishi kuchukua muda mrefu hata lisaa limoja.

Je, wewe CV yako ya mazishi, itachukua dakika ngapi kusomwa?
Mimi nilisema nikifa nizikwe tu, cv wakati wa mazishi inasaidia nini
 
Kuna kabila la watu kule Tibet,mtu akifa mwili wake wanaupeleka mlimani na kuuacha huko

Wakishauacha kisha wanakuja ndege walao nyama wanautafuna mpaka unabaki mifupa

Wale ndege wanaaminika ni malaika

Hivyo wanapouafuna mwili na kisha kupaa juu agani inaaminika kuwa eti wanaruka na roho ya marehemu na kuipeleka mbinguni

We subiria risala ndefu kama ya Magufuli

Ukristo umejaà unafiki aisee

Mimi ingekuwa amri yangu itaheshimiwa nikifa ningehusia kwenye wosia wangu wanichome moto badala yakunitembeza wakiniuzisha sura kwa kisingizio cha kuniaga
Ukiandika wosia wako kwamba unataka ifanyiwe cremation itafanyika mkuu wala haina shida andika
 
kitendo cha msomaji kushika ile karatasi yangu,sidhani kama

atakua na cha kuongea maana n atashika karatasi na kuliangalia na kusema "asanteni"

Ndio ishaisha hiyo,so kuhusu muda labda aucheleweshe huyo msomaji kwenye kupanda au kuondoka eneo la tukio.
 
Yangu itakuwa fupi sana, labda wasome na vipengele hivi.

Bwana Hu alikuwa anapendelea chibuku.
Mwaka 2017 akaachana na chibuku akarudi kwenye gongo.
Mwaka 2018 akaanza kunywa safari.
Mwaka huo huo aliacha pombe kabisa kwa muda wa wiki 13.
Mwaka 2019 akaliamsha tena, safari hii alikuwa anakunywa aina zote.
Wakati wa uhai wake alikuwa anapendelea kunywa bar fulani na fulani.
Pia Hu anasifika kwa kupenda matackle makubwa.
 
Back
Top Bottom