Najua babaangu ni wangu kwasababu msururu mzima tunafanana almost tuna quality kutoka kwa mama/baba au both!hata hao ndugu zangu wa kambo dah ka wamepigwa photocopy mdingi alikuwa na genes kali.Kuna mdogo wangu moja wa kambo wa kike kama mimi!
Mambo mengine tuyaacheni tu kama yalivyo, na umri huu nikijua huyu si baba yangu wakati he's done everything for me nitapata faida gani haswa...hata huyo biological father akija wala sitamtambua.....siri anayo mama!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.