Jimmy George JF-Expert Member Joined Nov 28, 2016 Posts 1,733 Reaction score 1,650 Feb 4, 2017 Thread starter #21 Mwandwanga said: Lazima wawe na jeuri si Wanavuna ZA MADAWA Click to expand... Wanatumia fedha kuwatusi wenzao hahahahaha
Mwandwanga said: Lazima wawe na jeuri si Wanavuna ZA MADAWA Click to expand... Wanatumia fedha kuwatusi wenzao hahahahaha
Jimmy George JF-Expert Member Joined Nov 28, 2016 Posts 1,733 Reaction score 1,650 Feb 4, 2017 Thread starter #22 Mavipunda said: Kwani wameacha kuuza ngano? Click to expand... Sijui
sangagh JF-Expert Member Joined Dec 28, 2016 Posts 255 Reaction score 184 Feb 4, 2017 #23 Mkuu leta hoja nyingine
Jimmy George JF-Expert Member Joined Nov 28, 2016 Posts 1,733 Reaction score 1,650 Feb 4, 2017 Thread starter #24 Matukutuku said: Hivi Hamorapa ndio Harmonise?? Manake sikuwa Dar es Salaam kwa wiki 7 hv nilikuwa porini ....... Click to expand... Hamorapa ni kijana mwenye jina kubwa mjini kuliko kazi zake za muziki
Matukutuku said: Hivi Hamorapa ndio Harmonise?? Manake sikuwa Dar es Salaam kwa wiki 7 hv nilikuwa porini ....... Click to expand... Hamorapa ni kijana mwenye jina kubwa mjini kuliko kazi zake za muziki
M Matukutuku JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 269 Reaction score 127 Feb 4, 2017 #25 Jimmy George said: Hamorapa ni kijana mwenye jina kubwa mjini kuliko kazi zake za muziki Click to expand... Okee asante kwa kunijuza ....
Jimmy George said: Hamorapa ni kijana mwenye jina kubwa mjini kuliko kazi zake za muziki Click to expand... Okee asante kwa kunijuza ....
binti kiziwi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 16,903 Reaction score 47,142 Feb 4, 2017 #26 G.Man said: Hatutakawia kusikia WCB walimtuma akamjaze Aunty mimba, maana hawakuliongelea pia hilo swala. Nafkiri kila mtu ananafasi yake nje ya kazi kama raia wa kawaida na ana uhuru wa kutoa maoni kama watu wengine Click to expand... Nafikiri umemaliza kila kitu.
G.Man said: Hatutakawia kusikia WCB walimtuma akamjaze Aunty mimba, maana hawakuliongelea pia hilo swala. Nafkiri kila mtu ananafasi yake nje ya kazi kama raia wa kawaida na ana uhuru wa kutoa maoni kama watu wengine Click to expand... Nafikiri umemaliza kila kitu.
leodigardcyrilo JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 3,441 Reaction score 1,853 Feb 4, 2017 #27 Ujue unahoja za kishamba ile label mambo ya MTU binafsi ni hayaihusu mbona huja hoji mimba
mangenjile Member Joined Nov 5, 2015 Posts 54 Reaction score 4 Feb 4, 2017 #28 halafu nimesikia na yeye yupo kwenye kudi lile la watuhumiwa wa madawa ya kulevya doimondi nimeona kwenye instaglam
halafu nimesikia na yeye yupo kwenye kudi lile la watuhumiwa wa madawa ya kulevya doimondi nimeona kwenye instaglam
Jimmy George JF-Expert Member Joined Nov 28, 2016 Posts 1,733 Reaction score 1,650 Feb 5, 2017 Thread starter #29 sangagh said: Mkuu leta hoja nyingine Click to expand... Ngoja nitafute
Jimmy George JF-Expert Member Joined Nov 28, 2016 Posts 1,733 Reaction score 1,650 Feb 5, 2017 Thread starter #30 leodigardcyrilo said: Ujue unahoja za kishamba ile label mambo ya MTU binafsi ni hayaihusu mbona huja hoji mimba Click to expand... Ukitukana matusi lazima lawama tupeleke kwa wazazi kwa kushindwa kumlea au kwann wakuache unatukana matusi kwa watu
leodigardcyrilo said: Ujue unahoja za kishamba ile label mambo ya MTU binafsi ni hayaihusu mbona huja hoji mimba Click to expand... Ukitukana matusi lazima lawama tupeleke kwa wazazi kwa kushindwa kumlea au kwann wakuache unatukana matusi kwa watu