Je waziri mkuu Pinda alimdanganya Rais?

Je waziri mkuu Pinda alimdanganya Rais?

we ndo mlevi mkubwa unatetea ujinga llabda pinda ni mjomba wako
 
TZ ni nchi pekee ambapo mtu anasema cheo au wadhifa alionao ni mzigo, harafu hapendi kuutua, ajabu na kweli
 
Cheo na wadhifa nakupenda sana hata kama unanizidi umri, unawaagiza watu wapige tu sasa unahamishia zigo kwa nahodha na nchimbi, si wewe ndo uliagiza na wizara zote ziko chini yako??? au umesahau agizo lako pinda???
 
Na uhesabu pm anasimamia wizara ngapi? Na ikiboronga moja basi pm hafai huo ni ujinga na ulevi wa gongo.

huhitaji kukimbilia kutusi mtu aliyetofautiana na wewe kimtazamo,jenga hoja atakuelewa,binafsi napata picha kwamba wewe bado unahitaji kuendelea kukaa darasani mpaka uelimike. And you never know huyo unaye mtusi ni nani? anaweza kuwa mzazi wako!
 
Na uyo Rais wenu mzee wa Reported Speech akirudi huko Marekani kuchek malaria na flue iliyokuwa inamsumbua atakuja kusema nimeskia, nimeambiwa, nimeelezwa, nimefahamishwa yaliyotokea bungeni na kuamua kuwatengua mawaziri 3., Mawaziri wengine bado hadi sasa sijaambiwa wala kuelezwa na kufahamishwa.,
 
Kama kazi ni mzigo mbona hajaomba apumzishwe au hata DC kwa miaka miwili???
 
Inawezekana alimwambia yote harafu ktk kujumuisha akasema nusu??? hii itakuwa na maana hakumdanganya rais bali alilidanganya bunge???? achague tu moja hapo juu, rais au bunge???
rais anaweza kuwa alikua anapata mbunge kupitia livestream so alikua akiona move yote.
 
Kwani umeambiwa Pinda alimwambia nini Rais? Pinda ni mizengo anapita kwa kupinda kwenye matatizo kama hayo maana anajua bosi anapendelea kusikiliza muziki gani na saa ngapi. Unajuaje kama alimwambia lakini JK kamwamini kama msaidizi wake mkuu? Kwani ulishasikia lini Mwalimu Nyerere alimtimua kazi Kawawa? Au unadhani Kawawa alifanya vitu vinavyopendwa sana na watu wote? Wewe unaweza kumtimua mkeo kwa sababu watoto wako wanasemwa vibaya?
 
Kwani umeambiwa Pinda alimwambia nini Rais? Pinda ni mizengo anapita kwa kupinda kwenye matatizo kama hayo maana anajua bosi anapendelea kusikiliza muziki gani na saa ngapi. Unajuaje kama alimwambia lakini JK kamwamini kama msaidizi wake mkuu? Kwani ulishasikia lini Mwalimu Nyerere alimtimua kazi Kawawa? Au unadhani Kawawa alifanya vitu vinavyopendwa sana na watu wote? Wewe unaweza kumtimua mkeo kwa sababu watoto wako wanasemwa vibaya?

Mkeweee, acha mzaha kwenye mambo ya kitaifa
 
watu ambao hawataki kuishi na hawataki kufa, kazi ni mzigo mzito kwako na pia hutaki kuachia wengine wabebe, du kama kupe kwenye ngozi hata ng'ombe amekufa yeye yupo tu
 
President should get rid with Pinda... huyu mjakazi wa ikulu alizoea kutumwa juice tu si zaidi ya hapo...
 
Tumeruhusu ikulu kuwa sehemu ya yoyote kuingia hata kama hajitambui, ikulu ihamishiwe karikakoo
 
Ki ukweli nisingependa pm mwingiine aliyejuzulu maana no mzigo mkubwa kwa selikali kuwatunza.acha twende turn hivi

unaogopa kufikiri??? unajua ni mzigo mkubwa kiasi gani tumebeba kwa kuwa na PM dhaifu?? unachosema ni kuogopa ukweli
 
Back
Top Bottom