Je waziri mkuu Pinda alimdanganya Rais?

Je waziri mkuu Pinda alimdanganya Rais?

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
7,452
Reaction score
3,073
Je Kwanini PINDA HAKUMWAMBIA RAIS KUHUSU MADAI YA WABUNGE KUWA PM PIA AJIHUZURU???

Jamani Pinda ni kweli bado anaamini ndo mTZ anayefaa kuwa PM ktk hali ambayo mawaziri wanawajibishwa na yeye kiongozi mkuu anabaki????

Kwa nin katika maelezo yake hakusema kuhusu kumfikishia ujumbe rais juuya wabunge kudai pia awajibike? au hayo hakuyasikia??

Je kuendelea na PINDA ambaye baadhi ya wabunge wamesema wazi kabisa amepinda,kuna tija kwa taifa???

Je, sio sahihi SPIKA kuongea na JK kuhusu matakwa ya WABUNGE juu yaPINDA kuachia ngazi???

Makosa ya Mawaziri ndo hayo hayo ya PINDA, mbona ameshindwa kusimamia serikali ndo kusababisha makosa kama haya kutokea mara kwa mara, si nivma naye aombe kutua huo wadhifa anaouita mzigo????

Nawasilishaa
 
Acha ujinga wewe unadhani kuvunja baraza la mawaziri ni kama kumtimua zitto na wenzie waliotuhumiwa ni hao mawaziri 4 na ndio waliotakiwa waachie ngazi ila wasingewajibishwa hao pm angepaswa kuwajibika, elewa pm alikuwa kama mbuzi wa kafara tu
 
Iwasilishie kule kwenye ile sredi ya mawazili kujiuzulu...
 
Na uhesabu pm anasimamia wizara ngapi? Na ikiboronga moja basi pm hafai huo ni ujinga na ulevi wa gongo.
 
Acha ujinga wewe unadhani kuvunja baraza la mawaziri ni kama kumtimua zitto na wenzie waliotuhumiwa ni hao mawaziri 4 na ndio waliotakiwa waachie ngazi ila wasingewajibishwa hao pm angepaswa kuwajibika, elewa pm alikuwa kama mbuzi wa kafara tu

yaani Bangusilo.....

Umenikumbusha mbali sana mkuu...2008 wakati Richmond ilipolipuka na kutoka na kila kilichokuwa ndani yake akiwemo mzee mwenye mvi!
 
Kamati ya Wabunge wa CCM ilimpa Pinda Masharti mawili;
1) Amshauri Rais awafukuze mawaziri wale wanne
2) Akishindwa hilo la juu basi wao (Wabunge) watatekeleza Vote of No Confidence kwa PM. Kwa hiyo Pinda kachagua no1
 
Si angempa full mkanda yaani ripoti na mjadala bungeni??? au ni lazima kusema ripoti tu???
 
Kamati ya Wabunge wa CCM ilimpa Pinda Masharti mawili;
1) Amshauri Rais awafukuze mawaziri wale wanne
2) Akishindwa hilo la juu basi wao (Wabunge) watatekeleza Vote of No Confidence kwa PM. Kwa hiyo Pinda kachagua no1
Kweli kila mtu ataubeba mzigo wake hapa TZ, je hawa mawaziri walibaka, walilawiti, walifyatua risasi, walichukua pesa kwa ngalawa??? kwanini wao tu???
 
Serikali yote imeoza hata wenyewe wanalitambua hilo hivyo tuwaache tu wamalizie mda wao uliobaki maana hakuna msafi hapo.
 
Sioni tija ya kufukuza mawaziri kila mara huku pinda aliyepinda kwa maneno ya mbunge akibaki kupindisha mawaziri kila wanapoteuliwa
 
Kwani rais hajui pinda ndo muasisi wa wapigwe tu??? sasa mawaziri wametekeleza,. je hakumbuki rais ndo alianzisha akili za kuambiwa, sasa mbona hajaonesha mfano??? angemwambi kwa kifupi tu PINDA nimekusikia kuhusu mawaziri hao 4, nataka na wewe uungane nao. Mkapigane tu huko kwenye miji yenu sio waTZ walionichagua.
 
Je Kwanini PINDA HAKUMWAMBIA RAIS KUHUSU MADAI YA WABUNGE KUWA PM PIA AJIHUZURU???

Jamani Pinda ni kweli bado anaamini ndo mTZ anayefaa kuwa PM ktk hali ambayo mawaziri wanawajibishwa na yeye kiongozi mkuu anabaki????

Kwa nin katika maelezo yake hakusema kuhusu kumfikishia ujumbe rais juuya wabunge kudai pia awajibike? au hayo hakuyasikia??

Je kuendelea na PINDA ambaye baadhi ya wabunge wamesema wazi kabisa amepinda,kuna tija kwa taifa???

Je, sio sahihi SPIKA kuongea na JK kuhusu matakwa ya WABUNGE juu yaPINDA kuachia ngazi???

Makosa ya Mawaziri ndo hayo hayo ya PINDA, mbona ameshindwa kusimamia serikali ndo kusababisha makosa kama haya kutokea mara kwa mara, si nivma naye aombe kutua huo wadhifa anaouita mzigo????

Nawasilishaa

Alichaguliwa kushika nafasi kwa mapenzi yake rais, na wengine kwa pleasure ya rais huoni tofauti hapo?
 
Ki ukweli nisingependa pm mwingiine aliyejuzulu maana no mzigo mkubwa kwa selikali kuwatunza.acha twende turn hivi
 
Kama hutaki maembe na unakata matawi yenye maembe utakata sana kila mwaka maana maadamu mwembe upo matawi yatachipua, Je rais atakata matawi hadi lini??? kila miezi 18 hivi anakata, si aung'oe mwembe????
 
Ki ukweli nisingependa pm mwingiine aliyejuzulu maana no mzigo mkubwa kwa selikali kuwatunza.acha twende turn hivi
Hivi kwanini tuwatunze?? si wanalilpwa take home 6milions, harafu kila kitu wanapewa, sasa tunawatunza ili iweje ni kumwibia MTz, CAG huoni hapo kuna wizi??? tunalipa mara 2 kitu kimoja, tunalipa hata baada ya kuduma kuacha kutolewa??? kama angefanya hivyo mhasibu Halmashauri si angefutwa kazi???
 
Ukweli mawaziri wetu wamekuwa wakifanya hovyo kwa sababu ya kukosa kiongozi imara juu yao yaani Waziri Mkuu. Ndo maana unaona kila waziri anafanya analotaka au anavyojisikia na hakuna wa kuwasimamia. Pinda anatakiwa awajibike.
 
Inawezekana alimwambia yote harafu ktk kujumuisha akasema nusu??? hii itakuwa na maana hakumdanganya rais bali alilidanganya bunge???? achague tu moja hapo juu, rais au bunge???
 
Back
Top Bottom