Je watu wote wanaweza kudanganywa rpf wakati wote? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je watu wote wanaweza kudanganywa rpf wakati wote?

Discussion in 'International Forum' started by Omulangi, Dec 19, 2008.

 1. O

  Omulangi JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2008
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 1,026
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Inasadikika huwezi kudanganya watu wote kwa muda wote. Hadi sasa Kagame na RPF wamefanikiwa kudanganya ulimwengu wote kwa miaka kadhaa. Hata lini ulimwengu utakkubaliana na fix hilo sielewi! Jiulize wakati Habyalimana na Ndadaye wanauwa tayari RPF walishakamata uwanja wa ndege Kigali na wakafanikiwa kuangusha ndege ya rais. Baada ya hapo serkali ikachanganyikiwa na mauaji ya ovyo yakaanza.
  Swali nani alikuwa anamuua nani? Unaaamini watu (RPF) waliojiandaa toka Uganda wakiwemo katika jeshi la Museveni na ku advance hadi Kigali walikuwa helpless wakiacha wahutu wawaue watusi wote huku wao wakiangalia? Wakati tunajua jeshi la RPF wakati ule walishakuwa na nguvu kiasi cha kuanza kuwakimbiza jeshi la Habyalima mji kwa mji kama mbwa?
  Je ni kwa nini watu waliokuwa wakiuwawa walikatwa vichwa na maiti zilizokuja Kagera zikielea zilikuwa bila vichwa kilichokuwa kinafichwa ni nini kama sio identity ya ukabila wao wa pua ndefu au butu?
  Je ni kwa nini katika mahakama za Arusha Marekani iliagiza watu wanaoshtakiwa wawe wahutu tu na watusi wanaoonekana kuwa na hatia wapelekwe Rwanda ili serkali ya RPF ndiyo iwashtaki?
  Hivi kweli inaingia akilini kuwa vita ya kikabila inaweza kuwepo wakafa watu zaidi ya laki 800 wanaouwawa na kundi la upande mmoja tu? Je ule upande wa pili walipoona watu wao wanauwawa (na RPF tayari ikiwa na nguvu ndani ya nchi) wao walifanya nini? Mbona ulimwengu hauelezwi. Je hatua walichokua kujihami zilikuwa za kiungwana kiasi gani?
  Katika makambi ya wakimbizii Tz na kwingineko mbona kulikuwa na wakimbizi wa aina zote na wengi wakiwa wahutu wakati mauaji yalipokuwa bado yanaendelea Rwanda? Hawa Wahutu walikuwa wanamkimbia nani huko Rwanda?

  Thinkers wa nyakati zetu kuna vichwa na fikiri vizuri. Tunajua Wahutu hawana historia ya kusoma, wengi wao ni watu wa kufanya kazi kwa mikono wakiwatumikia wengine. Wachache waliokuwa wasomi ndio hao wanaandamwa na kesi za genocide popote walipo. Mioyo ya wengi inaugua na uchungu wao ni mwingi si kwa watusi tu bali kwa jinsi dunia isivyowaelewa. Je huu ujanja wa kuwahi polisi watusi waliotumia wameutumia? Dunia inakubaliana na watusi kwa ajili ya utaaalamu wao wa lobbying na diplomacy?

  Wale waliopata kutembelea Rwanda sasa jiulize hivi kweli amani iliyopo huko ni ya kweli au cosmetic?
   
Loading...