Je, watoto hawana jinsia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, watoto hawana jinsia?

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by HAKI bin AMANI, Sep 22, 2011.

 1. H

  HAKI bin AMANI Senior Member

  #1
  Sep 22, 2011
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna Waziri wa Wanawake, Jinsia na Watoto. Je, wanawake ni nini na jinsia ni nini na je, watoto hawana jinsia?
   
 2. Lonestriker

  Lonestriker JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwangu nafikiri jinsia imetumika kama Gender ikimaanisha mgawanyiko wa kazi.
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  upo sawa, huwa tunakosea jinsi (ambayo ni ke au me) tunasema jinsia.
   
 4. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Mh jamani kuna vitu viwili hapa Gender(jinsia) and Sex(jinsi) then hii wizara iliwekwa tu kwani ilibidi iwe ni dept kwenye wizara ya maendeleo ya jamii.
  Gender is to be man or a woman and sex is to be a male or a female.then ukisema gender ni mgawanyiko wa kazi utakuwa hauko sahii sana kwani kazi jamii hakuna za man au a woman.
   
Loading...