Wadau, Kwanza Naoma Radhi Kwa Wale Nitakaowaudhi Kwa Hili. Nimekuwa Nikiwaza Mambo Yanayoendelea Hapa nchini, Kwamfano, Sakata La E P A,
I P T L, Mabilioni Ya Uswizi, Madawa Ya Kulevya, Ujangiri,... Na Mpaka Sasa Bunge La Katiba Ya CCM.. Imefikia Hatua Mpaka Mkuu Wa Kaya Anasema Kuna Baadhi Ya Majangili Anawafahamu.. Tuhuma Zingine Kama EPA Hatujui Zinaishaje. Bunge La Katiba Ya CCM Linasakanya Hela Zetu.! Hayo Niliyotaja Ni Machache Kati Ya Meng Yanayonifanya Nijiulize Hili Swali.. Hivi Sisi Ni Wapole Au wepesi wa kusahau?