Je, Watanzania tuna chochote cha kujifunza katika uchaguzi unaoendelea nchini Marekani?

Tofauti kubwa sana ya miaka 400+ na miaka 50 walahi
Hao walianza na hakuna mwanamke kupiga kura, ikaja mtu mweusi. NDUGU YANGU USIONE VYA ELEA VIMEUNDWA WALAHI
Kwa hyo na sisi tusubiri miaka 400 ili kuondoa vikwazo vitakavyo mnyima mwananchi haki ya kupiga kura?mbona hatusubiri miaka 400 ijayo ndo tufikirie maswla ya STGR.au bado una mawazo ya alieko juu mngoje chini?utangoja sana.
 
Naam, viliundwa na vyaelea, sasa taabu yetu ni nini? Waliunda magari na sasa tunatembelea hayo magari, mbona hatukusubiri hadi tuunde ya kwetu? Waliunda ndege na sasa tunatembelea hizo ndege, mbona hatukusubiri hadi tuunde za kwetu? Kila kitu wameturahisishia, sisi tunatakiwa tu twende na wakati, kwa nini hata hilo tushindwe? Ujinga au upumbavu?
Kwenye list yako ongeza "USHOGA" ili furaha yako itimie
 
Bunduki iliyofyatua Lissu na kumuua Akwilina anayo Mbowe!
Bunduki zote za wasiojulikana ingawa baadhi wanajulikana zipo zimehifadhiwa kwa Musiba na Le mutuz wazee wa Nissan nyeupe ya Dodoma.
 
Tofauti kubwa sana ya miaka 400+ na miaka 50 walahi
Hao walianza na hakuna mwanamke kupiga kura, ikaja mtu mweusi. NDUGU YANGU USIONE VYA ELEA VIMEUNDWA WALAHI
Ok, mbona hatujasubiri miaka 400 kutumia internet?
Mbona hatujasubiri miaka 400 kujenga flyover? Mbona hatujasubiri miaka 400 kujenga Stiegler?

Sisi tulitakiwa tuwe mbele kwasababu katika miaka 50 template ilikuwepo
Muhimu sana, mbona India hawajasubiri miaka 400, mbona Brazili hawajasubiri miaka 400

Una maana tuendelee kupiga ramli za kuvunjika mifupa kwasababu technology ya X-Ray ilikuwepo miaka 100 kabla yetu. Kwanini tuna nunua Ultra sound au MRI machine tusisubiri miaka 400

Hakuna kigumu, tatizo letu ni lile la Waafrika wote, hatujali jamii zetu as long as tunashiba
 
Naam, viliundwa na vyaelea, sasa taabu yetu ni nini? Waliunda magari na sasa tunatembelea hayo magari, mbona hatukusubiri hadi tuunde ya kwetu? Waliunda ndege na sasa tunatembelea hizo ndege, mbona hatukusubiri hadi tuunde za kwetu? Kila kitu wameturahisishia, sisi tunatakiwa tu twende na wakati, kwa nini hata hilo tushindwe? Ujinga au upumbavu?
Nilidhani tunapaswa kutumia Ungo badala ya Dreamliner tukisubiri miaka 400 tu
tengeneze ya kwetu. Nilidhani tunapaswa kusubiri miaka 400 tukiwa tumevaa vibwenda si suti

Fikra za kusubiri miaka 400 ni vioja tu, ni njia nyepesi ya kusema hawana jibu

Nyani Ngabu njoo uone jibu la lile swali la uzi wako wa ''Market place'
Watu wanamshambulia mleta mada badala ya mada ili kuvuruga mada
 
Back
Top Bottom