Je, Watanzania tuna chochote cha kujifunza katika uchaguzi unaoendelea nchini Marekani?

Mag3 huna uwezo tena wakumshawishi mtu kufuata fikra zako mbovu, ndio sababu kipindi cha uchaguzi tulikukimbia kwenye jukwaa haukuwa na hoja bt ulijawa na vioja ukachanganya na mahaba. Kipofu hawezi kumuongoza anae ona. Kafie mbele!
Hahahaha
 
Hapa kwenu kila anaekwenda kituo cha kura tayari ana matokeo yake kichwani kiunoni ana panga la kwenda kumjeruhi msimamizi wa tume wacha polisi wawe wengi ukiachiwa na mkiachiwa kujiandikisha papo kwa papo msivyo na akili mtapiga kura mara ishirini kwa kukosa uaminifu!
Upinzani wana Matatizo makubwa sana ya kiafya walahi
 
Ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano, kuliko Bongo kujifunza kitu cha maana chochote kuhusu demokrasia.
 
Ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano, kuliko Bongo kujifunza kitu cha maana chochote kuhusu demokrasia.
Demokrasia haipo duniani na hata mbinguni hamna na jehanamu Ndio kabisa walahi
Deal with it!
 
Hatuna la kujifunza ,kama tumeshindwa kwenye Katiba ,tutaweza kwenye chaguzi?
Unaona ofisi za Umma zinavyochezewa ,anayepaswa kupokea fomu ya mgombea anafanya mambo ndivyo sivyo..
 
Naitamani sana siku ambayo uchaguzi utakuwa ndio mwamuzi wa mwisho kuhusu nani achaguliwe au achaguliwe kuanzia ngazi ya mwenyekiti wa mtaa mpaka ngazi ya raisi.

Wakati huo uwanja wa kufanya siasa ukiwa sawa kati Ya chama tawala na upinzani.
Mwisho tume imetangaze mshindi,
Lakini pia aliyeshindwa akubali kushindwa na kujipanga upya kwa uchaguzi utakaofuata.
 
Hapo mleta mada utakuwa unafananisha mbingu na ardhi, katika Afrika mtu akichaguliwa basi anaona nchi ni ya kwake na hataki kamwe kuiachia hata aliyeteuliwa anaona ni mali yake, sisi tuko miaka 100 nyuma ya civilization
 
Mag3 huna uwezo tena wakumshawishi mtu kufuata fikra zako mbovu, ndio sababu kipindi cha uchaguzi tulikukimbia kwenye jukwaa haukuwa na hoja bt ulijawa na vioja ukachanganya na mahaba. Kipofu hawezi kumuongoza anae ona. Kafie mbele!
Rubbish....
 
Naam, viliundwa na vyaelea, sasa taabu yetu ni nini? Waliunda magari na sasa tunatembelea hayo magari, mbona hatukusubiri hadi tuunde ya kwetu? Waliunda ndege na sasa tunatembelea hizo ndege, mbona hatukusubiri hadi tuunde za kwetu? Kila kitu wameturahisishia, sisi tunatakiwa tu twende na wakati, kwa nini hata hilo tushindwe? Ujinga au upumbavu?
Bado unanadi ujinga wako ndugu. Si kila kitu kinafaa kununuliwa na kuletewa kwetu ili tuwe kama Marekani.
 
Naam, viliundwa na vyaelea, sasa taabu yetu ni nini? Waliunda magari na sasa tunatembelea hayo magari, mbona hatukusubiri hadi tuunde ya kwetu? Waliunda ndege na sasa tunatembelea hizo ndege, mbona hatukusubiri hadi tuunde za kwetu? Kila kitu wameturahisishia, sisi tunatakiwa tu twende na wakati, kwa nini hata hilo tushindwe? Ujinga au upumbavu?
Mpaka Sasa wewe kama mtanzania umelifanyia Nini taifa....

Wenzetu hawakusubiri selikari ndio waweze kufanya uvumbuzi na ugunduzi tafakar chukua hatua
 
Back
Top Bottom