Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,037 Reaction score 168,686 Nov 16, 2016 #1 MAZINGAOMBWE Chukua simu ya mke wako alafu mtumie meseji rafiki yake andika "Daah shost nina mimba"... Likija swali "Ya nani hyo shoga"..... jua hauko peke yako. Chukua karatasi na kalamu anza kuandika talaka
MAZINGAOMBWE Chukua simu ya mke wako alafu mtumie meseji rafiki yake andika "Daah shost nina mimba"... Likija swali "Ya nani hyo shoga"..... jua hauko peke yako. Chukua karatasi na kalamu anza kuandika talaka
Brightfame JF-Expert Member Joined Sep 14, 2016 Posts 1,371 Reaction score 1,460 Nov 16, 2016 #2 ?????!!!!!
Heci JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 3,866 Reaction score 6,885 Nov 16, 2016 #3 Uncle Bujibuji VP? miss chagga ndio kakufanya uwe mpiga ramli hatarishi?