Je, warant inafanya kazi gani?

Je, warant inafanya kazi gani?

papag

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,267
Reaction score
1,919
Habari wakuu?
Nilinunua hisense smart 4k inch 58. Miezi miwili iliyopita. Sasa jana kwa bahati mbaya ime crak kioo. Na warant inasema mwaka mmoja. Je naweza wasiliana na mwenye duka akanipa tv nyingine?

Ahsante
 
Ndio inawezekana
 
Hakika sisi watanzania wengi hatujui nini maana ya warrant... Tena mimi ndo sijui kabsa. Warant haijawahi kutekelezwa. Na sijui hadi kifaa kiwe vipi ndo tujue hapa warant itumike.

Sababu ukinunua kitu kikileta shida utaambiwa tatizo liko kwako. Mfano Tv ghafla imeungua utaambiwa umeunguza kwa uzembe wako.
 
Tafuta tu Tv nyingine ata ya inch 43, au 50, mi Tv mikubwa sio ishu. hapo warrant ni geresha tu.
 
Ngoja waje

Ila nijuavyo hiyo hutumika kama kifaa kimeleta shida chenyewe
Na sio matatizo yabkusababisha wewe mwenyewe
 
Habari wakuu?
Nilinunua hisense smart 4k inch 58. Miezi miwili iliyopita. Sasa jana kwa bahati mbaya ime crak kioo. Na warant inasema mwaka mmoja. Je naweza wasiliana na mwenye duka akanipa tv nyingine?

Ahsante
Warranty inafanyakazi, nilidondosha simu yangu Samsung nikapeleka pale JM mall Kwa Samsung agent ikaandikushwa nikaambiwa nirudi baada ya siku 21 nikakuta wamenibadirishia kioo.

Wabongo tunadanganyana Sana, TV ipo kwenye show case au ukutani halafu ikreki Kwa nini usirudishe?

Issue siyo lazima upewe TV Mpya, wanaweza wao wakakubadilishia kioo, ndio maana ya zile Warranty wao manucture wanarefund Kwa suppliers wao.

Mishandling ni ujinga wa mtu ukiambiwa hivyo na ukakubari huo upuuzi.
 
Hivi kuna tofauti gani kati ya warranty na guarantee?
Wewe huoni tofauti hapo?

Nakupa gurentee diesel lita 200 lazima ufike Morogoro, ni lazima ufike kweli.

Warranty ni kipindi cha matumizi ya bidhaa huku ukiwa na option ya kurudisha Kwa supplier likitokea tatizo, muda ukipita probation period inaexpire.
 
Hakika sisi watanzania wengi hatujui nini maana ya warrant... Tena mimi ndo sijui kabsa. Warant haijawahi kutekelezwa. Na sijui hadi kifaa kiwe vipi ndo tujue hapa warant itumike.

Sababu ukinunua kitu kikileta shida utaambiwa tatizo liko kwako. Mfano Tv ghafla imeungua utaambiwa umeunguza kwa uzembe wako.
Kama unatumia vifaa vya kielectronic Bila stabilizer au fridge guard unategemea nini?

Yani umeme huu wa Tanesco hulindi vifaa vyako ili utegemee Warranty? hakuna kitu kama hicho.
 
Hakuna warranty ya mechanical damage la sivyo watu wangekuwa wanavunja makusudi ili wapewe mpya.
 
Warranty inafanyakazi, nilidondosha simu yangu Samsung nikapeleka pale JM mall Kwa Samsung agent ikaandikushwa nikaambiwa nirudi baada ya siku 21 nikakuta wamenibadirishia kioo.

Wabongo tunadanganyana Sana, TV ipo kwenye show case au ukutani halafu ikreki Kwa nini usirudishe?

Issue siyo lazima upewe TV Mpya, wanaweza wao wakakubadilishia kioo, ndio maana ya zile Warranty wao manucture wanarefund Kwa suppliers wao.

Mishandling ni ujinga wa mtu ukiambiwa hivyo na ukakubari huo upuuzi.
Yani inacrack bila kuguswa!! Uchawi upo aisee
 
Back
Top Bottom