Je, wapinzani wakitoa fedha "cash" kwa wananchi katika ziara zao, nini kitatokea?

Unauliza vumbi stoo au makofi polisi? Watakamatwa na takukuru na kufunguliwa kesi ya kutoa rushwa.
Well said mkuu, niongeze kidogo hawatafunguliwa kesi ya kutoa rushwa ila watafunguliwa kesi za kuhujumu ujumi!
 
Kwa double standards, Watakamatwa, watafunguliwa mashitaka kwa kutoa rushwa?
 
Hapana, ni wa pili. Wa kwanza aliitwa Al Haj, Field Marshall, Dr. Idi Amin Dada. Kwa huyu naye miili ya Waganda wengi iliokotwa ikielea Ziwa Victoria hadi mamba nao wakakinai kuila.
Na wote ni madikteta!
 
Kiongozi wetu ni wa kwanza duniani anayetembea na mabulingutu ya noti na kuzigawa katika mikutano ya hadhara! Hii ni rushwa ya kuwashawishi wananchi aonekane anajali shida zao!
Mmmmh ww unajifanya huzitamani? Mimi nikimuona ananyosha mkono unaelekea nilipo, nasema Asante Yesu kwa kujibu maombi yangu!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom