Je, wapinzani wakitoa fedha "cash" kwa wananchi katika ziara zao, nini kitatokea?

Trust None

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Messages
648
Points
1,000

Trust None

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2018
648 1,000
Tumemuona Rais Magufuli akitoa fedha taslimu kutatua changamoto mbalimbali ama kumsaidia mtu binafsi. Je, hakuna utaratibu maalum wa kutoa fedha hizi?

Swali ni je kama ikitokea akina Mbowe, Mdee, Zitto, Sugu, na wengine wakafanya hivyo majimboni mwao, nini kitatokea? Hii ni ruksa kwa Rais tu au kwa wote?

MAENDELEO HAYANA VYAMA!
 
Ulimbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Messages
2,177
Points
2,000

Ulimbo

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2009
2,177 2,000
Tumemuona Rais Magufuli akitoa fedha taslimu kutatua changamoto mbalimbali ama kumsaidia mtu binafsi. Je, hakuna utaratibu maalum wa kutoa fedha hizi?

Swali ni je kama ikitokea akina Mbowe, Mdee, Zitto, Sugu, na wengine wakafanya hivyo majimboni mwao, nini kitatokea? Hii ni ruksa kwa Rais tu au kwa wote?

MAENDELEO HAYANA VYAMA!
Unauliza vumbi stoo au makofi polisi? Watakamatwa na takukuru na kufunguliwa kesi ya kutoa rushwa.
 
Uwazitu

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2019
Messages
489
Points
500

Uwazitu

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2019
489 500
Kiongozi wetu ni wa kwanza duniani anayetembea na mabulingutu ya noti na kuzigawa katika mikutano ya hadhara! Hii ni rushwa ya kuwashawishi wananchi aonekane anajali shida zao!

Takukuru hawaoni?

Mbona hawamkamati kwa kutoa rushwa?

Au huyo sheria hiyo ya rushwa haimhusu?
 
Mag3

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Messages
10,730
Points
2,000

Mag3

JF-Expert Member
Joined May 31, 2008
10,730 2,000
Kiongozi wetu ni wa kwanza duniani anayetembea na mabulingutu ya noti na kuzigawa katika mikutano ya hadhara! Hii ni rushwa ya kuwashawishi wananchi aonekane anajali shida zao!
Hapana, ni wa pili. Wa kwanza aliitwa Al Haj, Field Marshall, Dr. Idi Amin Dada. Kwa huyu naye miili ya Waganda wengi iliokotwa ikielea Ziwa Victoria hadi mamba nao wakakinai kuila.
 
Bigirita

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
15,774
Points
2,000

Bigirita

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
15,774 2,000
Hoja ni rais kugawa pesa kama peremende.
Hoja ni mfu, kwanini wapinzani wagawe fedha?
1) watazipata wapi kwasababi anazogawa bwana yule ni zetu za kodi amiamua atapanue
2) zinasaidia nini? Poverty is ver eradicates by giving oit handouts, provide people with opportunities not vohela vya kula siku mbili.

Unapotoa vijihela kwa mtu mmojammoja anaekuomba au uliyempanga kuonyeaha show ndio inakiaje kwa linchi likubwa namna hii?
 
Kaitampunu

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2011
Messages
1,826
Points
1,250

Kaitampunu

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2011
1,826 1,250
Hoja ni mfu, kwanini wapinzani wagawe fedha?
1) watazipata wapi kwasababi anazogawa bwana yule ni zetu za kodi amiamua atapanue
2) zinasaidia nini? Poverty is ver eradicates by giving oit handouts, provide people with opportunities not vohela vya kula siku mbili.

Unapotoa vijihela kwa mtu mmojammoja anaekuomba au uliyempanga kuonyeaha show ndio inakiaje kwa linchi likubwa namna hii?
Ndugu, hujaeleweka hata!
 
Forum statistics

Threads 1,343,343
Members 515,022
Posts 32,781,535
Top