Je, Wapemba wako tayari kuhamia Kenya/kuuzwa utumwani Kenya?

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,945
Amani iwe nanyi wakuu

Somalia imefungua kesi ICJ ikidai Kenya imekalia eneo lake la Lamu kwa mabavu.

Na endapo kesi hiyo Wakenya watashindwa maana yake itabidi waliachie eneo hilo pamoja na watu wake na rasilimali zake zote.

Sasa kasheshe inakuja kwamba endapo Wakenya watashindwa itabidi nao wafungue kesi ICJ ili kuichukua Zanzibar ambayo ipo karibu sana na Kenya.

Je, Wazanzibar watakubali kwenda Kenya na kuwa raia wa Kenya?

Je Wazanzibar watakubali kuwa mkoa ndani ya Kenya?

Na endapo Zanzibar itaenda Kenya basi Mombasa nayo itakuja Tanganyika.

Karibuni sana watu wa Mombasa

Kwaherini wazanzibari watanganyika tuliwapenda ila wakenya wamewapenda zaidi.

Sasa CCM itabidi itafute colon jingine kati ya Burundi au Rwanda, maana watanganyika hatuwezi ishi bila kuwa na kikoloni chetu kidogo dogo.

Nawasilisha

BOY FROM LONDON
 
Nimecheka sana...
Labda Znz iwadai wakenya....kile kipande chao... kilichosukumwa kenya na wale watukufu waasisi wa muungano!
 
sijailewe logic yako, kabla ya uhuru Pemba ilikua sehemu ya nchi huru ya Zanzibar, sasa unafungua vipi kesi kidai nchi nyingine ni yako?

mgogoro wa kenya na somalia ni juu ya mpaka wa bahari na sio ardhi ya kenya!
 
Unaujua vizuri umbali wakutoka kenya mpaka pemba vizur??? Kma pemba iko kenya iweje tanga iwe tanzania? Manake kutokokenya unavuka usawa wa tanga mjin unasogea mpka pangani apo ndo unauona mji kisiwa cha pemba.
Manake nikua tanga iko katikat ya pemba na mombasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom