WanaJF katika pita pita yangu nimekutana na hii picha na imenifurahisha sana jinsi hiki chama cha upinzani Tanzania kilivyoonyesha Uzalendo na mfani bora. Je chama tawala kinaweza hili? kama sio wanachojua ni kuwatupia mawe na ugomvi tuu kwa wapinzani?