hivi wanaume wanafuata uzuri au inteligence???
Mwanamke mzuri kwa kipimo gani? Kama ni sura basi huwa hawaolewi kwa sababu watakuwa ni chakula cha wengi!
2013 wanawake wazuri ndio wanaoolewa; wanawake wabaya kwa tabia hawaolekibila kupamba wala nini, ningependa mnijuze wanajamvi kwa tafiti zenu, kama hili jambo lina uhalisia , ya kwamba wanawake wazuri hawaolewi. hivi wanaume wanafuata uzuri au inteligence???
ha ha ha,
Wanaume wanatafuta vyote uzuri na uintelijensia hakuna mtu anayetafuta mke mbumbumbu!bila kupamba wala nini, ningependa mnijuze wanajamvi kwa tafiti zenu, kama hili jambo lina uhalisia , ya kwamba wanawake wazuri hawaolewi. hivi wanaume wanafuata uzuri au inteligence???
bila kupamba wala nini, ningependa mnijuze wanajamvi kwa tafiti zenu, kama hili jambo lina uhalisia , ya kwamba wanawake wazuri hawaolewi. hivi wanaume wanafuata uzuri au inteligence???
mimi ni me mkuu na sio ke
Mbumbumbu ni mtu gani na kipimo chake ni kipi?Wanaume wanatafuta vyote uzuri na uintelijensia hakuna mtu anayetafuta mke mbumbumbu!
hichi hoja inao uhalisia ndani yake.kwa uzoef wangu mdogo tu weng huwa hawaolewi,na wakiolewa hawadumu kwenye mahusiano,sababu ya kwanza wanaume hupenda kuwaonja tu na pind wakigundua sio watamu wanatoa nanga,pili wakiwa kwenye ndoa wanajiamin sana hudhan kwamba hata wakiachika wataolewa tena kwaajili ya uzuri wao kwaio kwao kuvunjika kwa ndoa huwa wanaridhia kiurahc,kwa upande wangu mimi kama mwanaume uzuri si kigezo cha kuwa mke bora!
Intelijensia tena khaaaa? kwani sisi ni kina Kova....!!!
mkuu nimetazama avatar yako kwa muda, but sijajjua kama unacheka hapo ama unalia. yaani upo in between ha ha ha ha. anywaySasa mambo ya watoto wa kike yanakuhusu nini au una wasi wasi na mrembo wako??