Je wanawake hufurahia 'Quicky'?

Hilo nalo neno, kuoga mkirudi nyumbani jioni na mchana wote mnafanya kazi mkiwa na janaba
 

Fanya fasta sana kunipa namba yake, najua huyo wa fasta tutaendana
 
Kwa hiyo mkuu ukilinganisha hiyo spidi yako na ya Kuku nani ni zaidi?
 
Hiiiii ina maana hata kumeza shahawa ni jambo la kizungu
sa waafrica chetu kipi? Kudandiana tu?
waafrika ndio tulioanza kucheza filamu za ngono kibiaahara?? Manake naamini wengi(wote) tumeayaonea huko...! Sasa sijui ni wamagharibi au waafrika walioanza kucheza picha za ngono kibiashara..!
 
Nimepitia thread hii mwanzo hadi hapa na nimeshangazwa sana. Naweza kufanya conclusion zifuatazo.1. Kwanza swali lilikuwa linalenga zaidi watu wa jinsia ya ke kuliko me.2. Me wengi almost 97% ya waliochangia wamechangia kwa kejeli, na dharau. Hadi kufikia hatua ya kuwatusi akina dada.3. Ke wengi 98% wame respond positively. Quicky ina raha yake. 4. Me wengi wameonyesha uelewa mdogo katika maswala ya mapenzi. Wameonyesha siyo wabunifu na hufanya mapenzi kwa kukariri. I mean business as usual. Hawapendi kujaribu vitu vipya.5. Me wengi huchukulia swala la kufanya mapenzi kama kitendo kichafu. Na wanawake ni watu wachafu na huleta mikosi. Hii ni dhana potofu. Serikali inatakiwa iingize somo la mapenzi, sexology kwenye mitaala ya sekondari. Otherwise michepuko haitaisha.
 

Umezijuaje jinsia za watu humu?
 
waafrika ndio tulioanza kucheza filamu za ngono kibiaahara?? Manake naamini wengi(wote) tumeayaonea huko...! Sasa sijui ni wamagharibi au waafrika walioanza kucheza picha za ngono kibiashara..!

Ila haujanijibu swali langu....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…