Je wanawake hufurahia 'Quicky'?

Je wanawake hufurahia 'Quicky'?

iMind

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
3,158
Reaction score
5,273
Quicky ni kitendo cha kufanya mapenzi chap chap, kwa kawaida dakika 3 hadi 5. Mara nyingi hufanyika katika mazingira ambayo mmakuwa hamna muda, say mmoja wenu atatakiwa kuondoka dk 10 zijazo au katika mazingira ambayo si faragha sana, kama choo cha kazini au hotel au sehemu ya corner kwenye club etc.

Nilikuwa na dame mmoja anapenda sana hii kitu. Yeye alikuwa anawahi kuondoka asubuhi kabla yangu. Anaamka anaoga anajipodoa ana vaa, bado dk 10 basi kupita ndo utasikia lets have a quicky one. Anashusha tu suruali na qupi game inaanza. Siku moja tulifanya quicky kwenye vyoo vya airport moja kubwa tukiwa tunasubiri connection.

Najua huyu dada hafiki kileleni haraka, lakini kwa kuwa mimi naweza kujicontroll aidha nichelewe au nilikuwa na manage kucome haraka au kuchelewa ili na yeye a enjoy tunapokuwa na muda.

Recently tena nimepata dada mmoja anapenda quicky. So najiuliza, do they really enjoy?
 
sasa kama demu wako alikuwa anapenda si ina maana alikuwa anaenjoy, unaulizaje tena kama wanawake huwa wanaenjoy? Au demu wako alikuwa wa kiume!, dot com ina maajabu mengi!
 
sidhani kama kuinjoi, plus effect ya dildo. Ngumu.sana.
 
Ndio ubaya wa kufanya assumptions kwa ujumla, unachokipenda wewe mwenzako si lazima akipende. Wapo wanaopenda hizo quickie, lakini pia wapo wanaopenda marathon.
 
Quicky labda kwa madada poa wanaojiuza manake unapiga fasta anarudi sokoni
 
Yani nyie system yenu mbovu sana mtu ameshaoga nakujipodoa ndio anachedwa .... ndio maana wanawake wengine wananukaga nimepata sababu atleast... acha hyo tabia ya kishenzi
 
ulivomaliza apo airport hamna bathing wala nini!!! ndo mana nakua mgumu kumpa mkono mtu ili kumsalimia... yani umetoka kushika mapapuch uko na madude yko alafu mtu anakuja kukuhug dwuh

ni marufuku kusalimia kwa kushikana mikono ujue ebora iko njiani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom