It's very trueMshahara wa dhambi ni mauti Bali karama ya Mungu ni uzima wa milelele, wameanza kuyajutia makosa yao
MFA maji hakosi kutapatapa, mmoja alisema watashinda kwa goli la mkono, sasa goli hilo limemtokea puani.Hao majasiri uliowataja bado halijawatokea litakalowatokea?
Kwa upande mwingine, hali ni mbaya sana kisaikolojiaMFA maji hakosi kutapatapa, mmoja alisema watashinda kwa goli la mkono, sasa goli hilo limemtokea puani.
Kwani kuna mtu kabisha?Nyie maf.ala mnaangaika Sana mitandaoni.Naanza kuamini hamna kazi nyingine za kufanya, ila mkija kushtuka umri umewatupa mkono,serikali ni hii hii,CCM ni hii hii,katiba ni hii hiihii, tume ni hii hii na Raisi wa Jamhuri ni John Pombe Joseph Magufuli mpaka 2025.Haya mengine mnapoteza time tu.
BAVICHA kwa kujipa moyo hakuna anayewazidi!
Endeleeni kulishana upepo wa kisiasa wakati CCM inazidi kujiimarisha kisiasa.
Hahaaaa......😀😀MFA maji hakosi kutapatapa, mmoja alisema watashinda kwa goli la mkono, sasa goli hilo limemtokea puani.
Nyie maf.ala mnaangaika Sana mitandaoni.Naanza kuamini hamna kazi nyingine za kufanya, ila mkija kushtuka umri umewatupa mkono,serikali ni hii hii,CCM ni hii hii,katiba ni hii hiihii, tume ni hii hii na Raisi wa Jamhuri ni John Pombe Joseph Magufuli mpaka 2025.Haya mengine mnapoteza time tu.
Vya dezo ni hivi vya kuua, kutesa, kuteka, kupotezana??Vya dezo dezo ambavyo hakuna tena ndio mnyoosho wanaopata awamu hii.. watazoea tu