Je, walikiamini walichokihubiri ?

Safi sana bonge la majibu. Hajielewi masikini!!! Fred Mpendazoe !!
Fred Mpendazoe: Lowassa tusamehe tuliokuhukumu, nikiwamo mimi!


Ukitaka kujua mtu alivyo mnyime chakula na ukitaka kujua kiwango cha unafiki mwonjeshe chakula
 
Leo ndiyo mara ya kwanza nakuunga mkono.
Kitendo cha kumpokea Lowassa ilikua pigo moja kubwa sana, sikuamini walichokifanya hawa jamaa, walionyesha kua wapo tayari kupokea hata jambazi ilimradi waguse ikulu maana najua sababu pekee ya kumpokea EL ilikua ni kwa kua waliona popularity yake sidhani kama kuna sababu nyingine. Ndiyo maana sina chama, napondea kila mtu akikosea, nasifia kila mtu akipatia. Binadamu hatupo stable kabisa.

Ila usitumie hiyo hoja kupinga kua upinzani waliongea muda mrefu kuhusu swala la sheria za madini, ni kweli waliongea video za bunge zipo hilo halipingiki, unataka lisitamkwe? Bora kinga kuliko tiba, tungekinga toka kipindi kile hii vita ya leo isingekuwepo. Inabidi serikali muda mwingine isikilize, wapinzani nao ni watanzania vilevile tu, wapo wengine wana nia njema pia, na hata kama hawana ni rahisi kuchukua hoja na kuifikiria na kuona kama ina faida au la, hata kichaa kuna muda anaongea point.
 

Huyu ni wa pili baada ya yule wa taarifa na burudani

Tusimulaumu huyu mzee, jina lake linadhihirisha matendo yake, "He likes all"

Kuna mtu alioa mke wa kwanza hakutosheka, akaoa wa pili, watatu, wanne, watano bado akaona ladha ni ileile, akawaacha wote, alipoulizwa kulikoni unawaacha wake zako akawajibu ZAFANANA

Likewise huku nako
 
Mpendazoe njaa inakusumbua,Hakuna njaa mbaya kama inayoanzia kichwani kuelekea tumboni,Umeamua kusumbukia njaa ya kichwa unapoteza muda sana,Better ungemaliza madeni yako kwanza,Kwa ushauri tafuta kitabu cha saikolojia fanya mazoezi upunguze stress,Ulishafutika kwenye ramani za siasa ndio maana uliitwa mbuzi mwenye mkia mfupi
 
Mpendazoe njaa inakusumbua,Hakuna njaa mbaya kama inayoanzia kichwani kuelekea tumboni,Umeamua kusumbukia njaa ya kichwa unapoteza muda sana,Better ungemaliza madeni yako kwanza,Kwa ushauri tafuta kitabu cha saikolojia fanya mazoezi upunguze stress,Ulishafutika kwenye ramani za siasa ndio maana uliitwa mbuzi mwenye mkia mfupi
 
Umekatwa mkia
 
Badala uwalaani hawa CCM wenzio walioingia mikataba ya kijinga na kulisababishia taifa hasara ya matrilioni, wewe umekomaa na Chadema.

We jamaa unazeeka vibaya!
Hata wewe unatakiwa ushatakiwe kipindi cha mikataba hiyo ulikuwa CCM
 
Khaaa kweli hata shule za kata zinasaidia ,Jitu hata halielewi mambo ya madini na sheria zilizopo kazi ni kuandika tu linalokujia kichwani,Kama hujui kitu uliza usikurupuke
 
Huyu mpenda Zoe hadi anatia huruma. Si uachane na siasa tu mzee? Acha kulazimisha fani isiyokufaa. Maybe kutoka kwako hakupo kwenye siasa labda kwenye inshu nyingine

Mi nakushauri jaribu kwenye upande wa kilimo na ufugaji huenda ukatoka.

Huna nyota
 
We mzee unanipa tabu sana kukuelewa sasa hivi na maandiko yako. Si mpendazoe niliyepata kumfahamu.
 
Umemaliza mkuu!! Akakojoe alale
 
Kwa hiyo wewe Mpendazoe una maadili? Yule dada aliyekuwa pale Hosteli za Ubungo ulimuoa au ulimharibia maisha ukamtelekeza? Mbona alitulalamikia sisi tuliokuwa tukisoma naye pale Mlimani kwamba wewe ni tapeli mkubwa na huna Maadili? Mbona wewe hukumwonea huruma binti wa watu wazazi wake wamejitahidi kumsomesha kwa shida hadi anafika chuo kikuu ukamtapeli kimapenzi? Ona aibu. Nitashangaa kama huyu unayemsifia atakupa hata ukatibu kata tu. Labda kwa vile mnatoka kanda moja ya ziwa. Wakabila wakubwa ninyi. Mpendazoe tunakujua ndani nje. Funga domo lako. Ng'ombe bila mkia.
 
Hivi yale maneno WAPUMBAVU NA MALOFA yalitolewa na nani jamani na ni wachama gani?
 
Wewe mkatwa mkia, sidhani kama kuukandia upinzani utakufanua uonekane ccm kupata U-DC
 
Tapeli mkubwa Mpendazoe. Mkia umeota? Anatafuta ukuu wa wilaya huyo. Hivi wewe mpendazoe unaweza hata kuhojiana na Lissu? jamani, vituko vingine.
 
Arudi tu CCJ atapata akili.
 
kukaa kimya nako ni busara,kama uliweza kumsimanga lowasa ukiwa ccm na ukaenda cdm ukaanza kumuomba msamaha tutakuelewa kweli?unatafuta kujichafua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…