texeira abel
New Member
- Feb 16, 2016
- 1
- 0
Nilikua makini sana kumsikiliza amri jeshi mkuu alipotembelea mhimili wa mahakama.
Aliwasisitiza mahakimu kutoa hukumu haraka kwa wale watakaokamatwa na ushahidi.
Swali langu kwa mh rais ni kumekuwa na kero ya askari kubambikiza ushahidi kama vile bangi, meno ya tembo nk na hizi kesi zinahitaji uchunguzi wa kina na mh rais amesisitiza kutoa hukumu ya papo kwa papo kwa waliokamatwa na ushahidi.
WanaJF hebu tujadili hili,from Abel Sere wa Moshi.