Je wakubaliana na Mourinho?

Je wakubaliana na Mourinho?

Mapigo1

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
256
Reaction score
90
Kocha wa Chelsea Jose Mourinho
asema itakuwa rahisi kwa ngamia
kuingia tundu la sindano kuliko
Manchester United kuhifadhi kombe
la Ligi Kuu ya Premier. Je
wakubaliana na Mourinho?
 
Kocha wa Chelsea Jose Mourinho
asema itakuwa rahisi kwa ngamia
kuingia tundu la sindano kuliko
Manchester United kuhifadhi kombe
la Ligi Kuu ya Premier. Je
wakubaliana na Mourinho?


Kweli kabisa, nakubaliana naye; kwa sababu zifuatazo:
1. Kama Man utd ingekuwa namba 2 hata kama imeachwa pointi 14 ingekuwa rahisi.
2. Wanaoshinda wako wengi; kuwapita wote ni kazi ngumu; man utd akifungwa wenzake wanashinda; Sasa hivi wenzake man utd ni Everton, Spurs, Liverpool, Southampton, hao ndo anashindana nao kuingia "top 5."
 
Kweli kwa mziki wa man city,arsernal na chelsea man hata top 4, sijui kwani hali yao tete sana hata moyes anajua hilo ingawa bado hajakiri!
 
Kweli kabisa, nakubaliana naye; kwa sababu zifuatazo:
1. Kama Man utd ingekuwa namba 2 hata kama imeachwa pointi 14 ingekuwa rahisi.
2. Wanaoshinda wako wengi; kuwapita wote ni kazi ngumu; man utd akifungwa wenzake wanashinda; Sasa hivi wenzake man utd ni Everton, Spurs, Liverpool, Southampton, hao ndo anashindana nao kuingia "top 5."

Kaka mm bado cjakubar kwamba MAN U ndo kabisa nakumbuka msimu wa mwaka 2006/2007 alizidiwa mpaka poiti 15 na arsenal lakn mwisho wa lig walibeba ubingw.Ni ngumu lkn inawezekana kwan mech 16 ni nying na kwenye mpila lolote linawezekana
 
Ni kweli lakini fikiria hili; Man Utd anaweza akajaribu kumfunga Arsenal; lakini hiyo ni mechi moja tu? Zinabaki mechi ngapi? Ataweza kumfunga Citi? Atazuia LIverpool asiwafunge wengine? Atauzuia Chelsea asiwafungwe wengine? Kwa timu ipi Man Utd aliyo nayo hadi ashinde gemu zote zilizobaki ili awe bingwa?
Amfunge LIverpool, Everton, Man City na Arseanal?
Man-MOyes hawana uwezo huo;
Kaka mm bado cjakubar kwamba MAN U ndo kabisa nakumbuka msimu wa mwaka 2006/2007 alizidiwa mpaka poiti 15 na arsenal lakn mwisho wa lig walibeba ubingw.Ni ngumu lkn inawezekana kwan mech 16 ni nying na kwenye mpila lolote linawezekana
 
Kaka mm bado cjakubar kwamba MAN U ndo kabisa nakumbuka msimu wa mwaka 2006/2007 alizidiwa mpaka poiti 15 na arsenal lakn mwisho wa lig walibeba ubingw.Ni ngumu lkn inawezekana kwan mech 16 ni nying na kwenye mpila lolote linawezekana
hiyo man ya fagasoni full ukari sio sasa.kwanza wakati wanamsajili mata msaidizi wake mlimkataa mata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom