Je, wakijua chanzo cha usingizi?

Je, wakijua chanzo cha usingizi?

Acha uongo wewe......
Mbona wanafunzi darasani muda wote wanahangaisha fikra zao lakini wanasinzia wakati wa vipindi??
Au wabunge wakati wa vikao vya bunge??
Akikujibu hapo kwa wanafunzi naomba unitag, naenda kuapa kwanza.
 
Chanzo cha usingizi ni sukari.. Wanga unapozidi mwilini mwako ndio husababisha usingizi.
Ndio maana unakuta watu wengi husinzia mara baada ya kula.
Ukitaka usipate usingizi, usile vyakula vya wanga.
Kama una wasi wasi na nadharia yangu, kaa siku mbili bila kula vyakula vya wanga wala sukari.
We kula nyama, maziwa mboga za majani nk, uone kama utapata usingizi.
Mwisho kabisa: Usingizi ni mtamu kwa kuwa unatengenezwa na sukari ambayo ni tamu!
Kama sukari ndio chanzo cha usingizi.

Je wewe naweza kukaa siku tano bila kulala?

Watu wasiokula vyakula vya wanga nao kwanini wanalala?
Au wao hawalali?
 
Huyu dogo sijui katokea wapi na hii mada!.
 
Je, unajua chanzo cha usingizi?

Usingizi hutokea kwa binadamu endapo atatulia kwa mda unao kadiliwa kufikia dk15 pasipo kutikisika, Mtu huyo lazima asinzie.

Nyongeza: pia ukitulia kwa mda huo pasipo kutikisika huku umefumba macho lazima asinzie mapema zaidi.

Ikumbukwe Usingizi ni tendo lisilo la hiyari.
Mm nimefungua nikijua napata shule kwamba ni nini kinasababisha mtu anasinzia nk kumbe napata kitu shallow namna hii? Any way hongera kwa kuanzisha uzi watakuja wanaojua kina GENTAMYCIN watuelimishe
 
Je, unajua chanzo cha usingizi?

Usingizi hutokea kwa binadamu endapo atatulia kwa mda unao kadiliwa kufikia dk15 pasipo kutikisika, Mtu huyo lazima asinzie.

Nyongeza: pia ukitulia kwa mda huo pasipo kutikisika huku umefumba macho lazima asinzie mapema zaidi.

Ikumbukwe Usingizi ni tendo lisilo la hiyari.
Watu wanalala wakiwa wanaendesha Malori
 
Usingizi unasababishwa na vingi sana.
Umeshiba au una njaa.
Unaumwa?
Habit(tabia yako ni ipi kwenye kulala)
Mindset(uko na stress usingizi unaweza goma kuja).
External factor makelele etc.
 
Je, unajua chanzo cha usingizi?

Usingizi hutokea kwa binadamu endapo atatulia kwa mda unao kadiliwa kufikia dk15 pasipo kutikisika, Mtu huyo lazima asinzie.

Nyongeza: pia ukitulia kwa mda huo pasipo kutikisika huku umefumba macho lazima asinzie mapema zaidi.

Ikumbukwe Usingizi ni tendo lisilo la hiyari.
Mbona kwenye gar watu husinzia huku gari inatikisika.Udingizi in uchovu was mwili, kuzidiwa kwa ubongo inabidi usinzie ili ubongo ujiupgrade.
 
  • Thanks
Reactions: T11
Je, unajua chanzo cha usingizi?

Usingizi hutokea kwa binadamu endapo atatulia kwa mda unao kadiliwa kufikia dk15 pasipo kutikisika, Mtu huyo lazima asinzie.

Nyongeza: pia ukitulia kwa mda huo pasipo kutikisika huku umefumba macho lazima asinzie mapema zaidi.

Ikumbukwe Usingizi ni tendo lisilo la hiyari.
Hv vitu huwa mnasoma darasan sema huwa hamuelew ipo hv usingiz husababishwa na cell pamoja homon zinazozalishwa pale unaporelax cell huwa zinapeleka taarifa kuwa mwili unaanza kurelax na baadh ya maeneo yanaanza kuzimwa mpaka syatem zote za hiar zitapozimwa ndo unalala

Wazungu ni watundu wanataka kuchunguza ni jins gan mifumo io huzimwa na socket zipo wap

Jibu rahia socket zipo kwenye kichwa cell zenyewe zinapeleka tu taarifa ubongo ndo unazima ayo maeneo sasa apa kuna haja ya kukaa chin kusoma lugha ya ubongo hapa wazee wa computwr nadhan wamenielewa ni km machine code kwa computer na siku wakifanikiwa hilo jua tumekwisha

Sasa mtu itakuwa unaweza kwenda hoapital ukaekewa software mpya kwenye ubongo km ulikuwa kichwa class utashangaa unaanza kuwa na tabia km za Zero IQ

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom