Je wajuaa

Je wajuaa

Naby Keita

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2011
Posts
12,891
Reaction score
20,128
Paka ana misuli 32 kwenye sikio lake moja
Mende anaweza kuishi kwa wiki kadhaa bila kichwa
Twiga anauwezo wa kukaa mda mrefu bila kunywa maji kulinganisha na ngamia
..........:::wekeni na zenu mnazofahamu
 
mamba hana ulimi
teke moja la twiga linaweza muua simba
 
BuNd pekEe ndiE nDegE mwEnyE uwEzo wa kuona mialE ya mwAnga wa BLUE.
 
Chatu hana meno, simbilisi akitoka kuzaa na kupandwa papo hapo,nguruwe hampandi mamaye,kondoo kupigana na radi,dume la nyuki likimpanda mamalia linakufa,
 
nzi hapendi haruu ya kijambo chake
 
Chatu hana meno, simbilisi akitoka kuzaa na kupandwa papo hapo,nguruwe hampandi mamaye,kondoo kupigana na radi,dume la nyuki likimpanda mamalia linakufa,

dume la nyuki kumpanda mamalia??
 
ngoma ikilia sana hupasuka

Bundi ndiye ndege pekee asieamini uchawi

wa moja hajui mbili ila anajua tatu na kuendelea

Hakuna mganga wa kienyeji Vegetarian
 
Chatu hana meno, simbilisi akitoka kuzaa na kupandwa papo hapo,nguruwe hampandi mamaye,kondoo kupigana na radi,dume la nyuki likimpanda mamalia linakufa.



Wrong, Chatu ana meno.
 
Back
Top Bottom