Kipenzi Chao
Member
- Oct 12, 2010
- 99
- 4
- Je, wanaume mwajua kuwa waweza kumtunza mkeo kwa kumpatia vitu kama gari zuri, nyumba nzuri, bank account iliyonona, uhuru wa kutosha, nafasi ya kushiriki kwenye maamuzi, mapenzi yote atakayo na kwa kiwango anachotaka, saloon, mavazi apendayo, simu nzuri, computers, kumsomesha, kumtafutia kazi nzuri, n.k, lakini huenda akadanganyika kwa vocha ya Tshs. 1,000 au lift?
- Je, wanawake mwajua kuwa mmeo anaweza kuwa na Tshs. 200,000 mfukoni, na akabania Tshs. 20,000 za kukupeleka wewe/mama yake mzazi hospitali, lakini akajikuta ametumia Tshs.100,000 kati ya hizo kumbembeleza kimada na bado akaambulia patupu?
moyo ndio husema.....so ni kawaida
Mhm! lakini kweli
Now, how to go about this problem? Should we accept as it is?
Mzima wewe?yah...I think so
hii hapa ni kweli anayebisha aje hapa
- Je, wanaume mwajua kuwa waweza kumtunza mkeo kwa kumpatia vitu kama gari zuri, nyumba nzuri, bank account iliyonona, uhuru wa kutosha, nafasi ya kushiriki kwenye maamuzi, mapenzi yote atakayo na kwa kiwango anachotaka, saloon, mavazi apendayo, simu nzuri, computers, kumsomesha, kumtafutia kazi nzuri, n.k, lakini huenda akadanganyika kwa vocha ya Tshs. 1,000 au lift?
- Je, wanawake mwajua kuwa mmeo anaweza kuwa na Tshs. 200,000 mfukoni, na akabania Tshs. 20,000 za kukupeleka wewe/mama yake mzazi hospitali, lakini akajikuta ametumia Tshs.100,000 kati ya hizo kumbembeleza kimada na bado akaambulia patupu?
yah...I think so
sltn ni kunyimana tu nthng else.......
km akitoka bas aingilie ukouko pia.....
NO...! But we should find out on how to avoid these situations madam....!yah...I think so
Hakuna aliyejitokeza kubisha, lakini unadhani kuna namna ya kuzuia hali hizi?hii hapa ni kweli anayebisha aje hapa
Thread haikuachwa mkuu. Bali solutions zinahitajika mkuu, ningeomba wazo lako juu ya kukabiliana na hali kama hii...!Ndio mi/tunafaham. Ssa mbona umeuliza halaf ukaacha thread inahang?
This is not a solution anyway....! But, better we discuss together on how to go about situations like that...!Kazi ipo! Solution ni kuzabana vibao tu!
Tunahitaji mchango wako mkuu, please come on...!Hapa mnadiskasi nini?
ndo manake ata wewe pia ntakunyima ila ntakupa reply tu katika post..papa mopaooooooooooooooooooooo aaaaanhaaaaaaaa...........niendelee?Wewe kunyimanyima!! Aaaah tutaendelea hata kunyima mengineyo tu, even smile mbele ya mgeni tutamnyima na mgeni pia!
leo unananihii eeeh week end hukumaliza eeh! twende chumbani.ndo manake ata wewe pia ntakunyima ila ntakupa reply tu katika post..papa mopaooooooooooooooooooooo aaaaanhaaaaaaaa...........niendelee?
Avatar yako hiyo......!!!!!ndo manake ata wewe pia ntakunyima ila ntakupa reply tu katika post..papa mopaooooooooooooooooooooo aaaaanhaaaaaaaa...........niendelee?