englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Sikweli
kweli unaweza kusikilizia hata mdomoni
kweli unaweza kusikilizia hata mdomoni
Nimejaribu si kweli bhana
Umejaribu??
Nimejaribu si kweli bhana
Nasubiri mkwe wangu
Nimejaribu si kweli bhana
kabla huu uzi kuja hapa mimi najua
ili usikilize kwa kutumia pua
fanya kama unapumua hukuumeziba pua na mdomo utaona kama hewa inakimbilia masikioni kisha chukua earphone weka puani hakikisha baada ya hewa kukimbilia masikioni huvuti pumzi. Yaani usipumue
Naipumue tena?..Hahahahah tuusitake kuuana bure lol