Unaweza ukawatumia WATU wale wale waliosababisha matatizo kwa kuwabadilisha MINDSET zao;
aidha kwa hiari (kubadilika midset) yao au kwa lazima
Unapokuwa ni kiongozi umeaminiwa na ukapewa mamlaka, ni lazima uwe na tabia ya kuhakiksha kuwa unachotaka kifanyike ndiyo kile kinafanyika, bila kujali anayekifanya amependa au hajapenda
Ukipewa mamlaka, usiwe mwepesi wa kubadilisha nafasi watu au kuwafukuza kazi, isipokuwa pale tu inapobidi kwa sababu usipokuwa mwangalifu unaweza ukasabsabbisha PARALYSIS kwenye SYSTEM
Unachotakiwa kufanya ni kuHakikisha watu wanafanya kile ambacho sheria na taratibu ziunawahitaji wafanye, baada ya hapo ndiyo unaweza ukachukua hatua zingine za ziada iwapo bado kutakuwa kuna ukiukwaji
Matatizo yote ni lazima yatengenezwe na binadamu na ukitumia principle iliyoiema wewe hapa itafikia hatua utahitaji MALAIKA kutoka mbinguni. Ukipewa malaka, hakikisha kuwa mtu anafanya kile anachotakiwa kufanya, na pasipo KUMTISHIA MTU KUMFUKUZA KAZI
Baada ya hapo sasa asipofanya ndiyo anakiona cha moto; na kinakuwa ni cha moto hasa! ACHA KABISA!