Je wajua?

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Kwamba kuku-jike anapofukuzwa na jogoo jeusi tii au jogoo lenye rangi mbaya hukimbia sana kuliko pale anapofukuzwa na jogoo jeupe au jogoo lenye rangi nzuri!
 
Kwamba kuku-jike anapofukuzwa na jogoo jeusi tii au jogoo lenye rangi mbaya hukimbia sana kuliko pale anapofukuzwa na jogoo jeupe au jogoo lenye rangi nzuri!
Du hii kali,inahitaji utafiti mkubwa,vipi kwa binadamu ndg yangu?
 
Kumbe ndo mana kuku wengine hata hawakimbii! Jogoo akitishia tu, jike kashalala chini!!!!
 
Ina maana kwamba, mwanamke wa kiafric akitongozwa na mzungu hukubari haraka haraka eeh!!!!!!
 
Hata wao wanapenda good looking bwana! Mbona hata binadam wanaangalia, kama sio handsome inakuwa shida kdogo kumkubalia. Tehe! Tehe!
 
Kwamba kuku-jike anapofukuzwa na jogoo jeusi tii au jogoo lenye rangi mbaya hukimbia sana kuliko pale anapofukuzwa na jogoo jeupe au jogoo lenye rangi nzuri!

Mhh jukwaa la uwongo na kudanganyana...
 
Me Nasubiri kusikia toka kwa Lizzy maana hii thread anaweza fafanua zaidi!
 
Hili likitu halichagui..au sijui ni kwa sababu limebarikiwa sana huko nyuma haliwezi kukimbia sana!!!
Umeona ee,kwanza saikolojia ya bata ni kwamba katika mishex2 zake huwa hageuki nyuma,yeye ni mbele kwa mbele,huwa hana time ya kuangalia nyuma kutathmini aina ya dume linalomfuata na ndo maana sometimes hata jogoo la kuku humpanda bata jike bila ya yeye kujua.Kwa utafiti zaidi nenda kota za polisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…