haha hahaaaNdiyo maana unaweza kushare kitanda na mwenza anaejamba usiku.
hahaha kweliMende huchukia zaidi akiguswa na binadamu. Hutafuta eneo tulivu na kujisafisha mpaka aridhike maana kwake binadamu ndio mchafu kuliko kila kitu
duuuuuhh"" sawa ..masterWarangi ni miongoni mwa jamii ambazo kitumbua anagaiwa ndugu wa karibu pia jamii nyingine ni wapare na kila mwenye nyege kontena.
hahaha ..Jiwe ameshasoma content yako ..so jipangeJe wajua, nina mpango wa kupindua na kuchukua utawala wa hii nchi kabla ya mwaka huu kuisha!!
Sasa hapo atachomaje wakati amelala?Mkuu nimesema choma kitu ndani ukiwa umelala uone
Point ya msingi ni kitu kiungue ndani ukiwa umelala nafikir muhusika kaelewa ni nini nilikuwa namaanisha shida huja kwa mtu wa nje.Sasa hapo atachomaje wakati amelala?
Wewe ni binadamu? Mbona umekomenti?binadamu akiona UZI wa kipuuzi kama huu anapita tu bila kureply
Proof? KisayansiUnapokutana au kusikia harufu mbaya ikakuchefua mpaka kuhisi kutapika...
Inashauriwa umeze mate ili usitapike na siyo kutema mate...
Cc: mahondaw
Wewe hovyo kabisaa!Ndiyo maana unaweza kushare kitanda na mwenza anaejamba usiku.
Nana uzi huu umepoteza mwelekeoWamakonde ni kabila linalozalisha wezi wengi wakikaribiwa na wazaramo.
Ufafanuzi tafadhaliWarangi ni miongoni mwa jamii ambazo kitumbua anagaiwa ndugu wa karibu pia jamii nyingine ni wapare na kila mwenye nyege kontena.
Hii inahitaji lecture nzimamacho yanapokuwa yamefumbwa yanakuwa yanafanya kazi pia!