Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Yes macho yanaacha kufanya kazi unapokufamacho yanapokuwa yamefumbwa yanakuwa yanafanya kazi pia!
Yes macho yanaacha kufanya kazi unapokufamacho yanapokuwa yamefumbwa yanakuwa yanafanya kazi pia!
Mbaka ×Binadamu hana uwezo wa kutofautisha harufu pindi akiwa amelala usingizi. Mfano ukiweka pilau pembeni yake hatohisi harufu yoyote mbaka pale atakaposhtuka toka usingizini.
Ongezea nyingine.
Umeona eee mimi mmoja wapo chumba cha jirani yangu mtoto aliwash godoro wakat wazazi wao wameenda mazoezin ilikua alfajil ujue nilistuka had na mwanangu moto ndio umepamba moto mosh mzito oxygen ya shida tuliamka aiseeChoma kitu ndani kama hataamka nakuhisi moto
Ni vile vitu vinavyoungua mda huoMoto una harufu mkuu?
Kivipi hasa machoMacho na moyo ndiyo organs zinazofanya kazi 24/7 katika mwili wako.
Wazungu nao wanatema mate?Binadamu wa kiume akitaka kukojoa katika mazingira machafu sana, hasa choo kichafu, hutema mate kwanza.
Hii mm mwenyewe sijui kwann hutokea hv
Huu ni uongo, nilisafiri kwenda kwenye sherehe kijiji cha mbali, pale kijijini tulilala kwenye room moja baada ya sherehe na uchovu mzito akawa amekuja jamaa mmoja na viatu vibichi kama vile alitumbukia mtaroni kwa mtogole, vhumba kilibadilika na kuwa kama choo cha shimo na wote tuliolala usingizi mle chumbani tulikuwa kama tumepuliziwa sumu, ilitulazimu kutoka na kulala nje.Binadamu hana uwezo wa kutofautisha harufu pindi akiwa amelala usingizi. Mfano ukiweka pilau pembeni yake hatohisi harufu yoyote mbaka pale atakaposhtuka toka usingizini.
Ongezea nyingine.
Atahisi joto mkuu na sio harufu kama unavyosema
Tunda la aina ya Apple huwa halizamagi kwenye maji.
Pia kuchez blues ukiwa unacheza na mwanamke mnene ni sawasawa kama unasogeza fridge
Ukiyafumba bado yanakuwa yanafanya kazi kwa ulimwengu wa kiroho unaweza kuona maono au njozi ukiwa usingiziniKivipi hasa macho
Sikumaanisha hivyoso una maanisha vipofu huwa hawaoti?