Je, wajua utofauti wa England, Great Britain na United Kingdom (UK)?

United Kingdom. Unaundwa na muungani wa nchi za England, Scotland, Wales na North Ireland. Hizo nchi zote zina Serikali zake kamili separate na Serikali ya Umoja wa Ufalme wa Uingereza (UK) isipokuwa England. England ni kama Tanganyika. England wao wanategeme Serikali ya Muungani na Waziri Mkuu wa UK ndo Mkuu wao wa nchi pia
Uko sahihi
 
Not Ireland, ni Ireland ya Kaskazini ndo mdau wa Muungano wa Ufalme wa Uingereza. Ireland ni nchi nyingine Kabisa tofauti na UK na mjii Mkuu wake ni Dublin
Screenshot_20240426-001819_Chrome.jpg


images.png
 
Back
Top Bottom