Hiyo no 1, si wote wapo wanaoweza kufanya hivyo. Kuna aina fulani ya mitege ya mikono mtu akiwa nayo analamba kiwiko kama anavyolamba kiganja cha mkono
Je wajua Mwezi uliopita (February) tarehe Mbili ya Mwezi iliangukia Siku ya IJUMAA na Mwezi huu uliofuata ambao tuko nao (March) tarehe Mbili ya Mwezi imeangukia Siku ya IJUMAA pia